Is it Possible?

Is it Possible?

Chomsky

Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo:

"Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?",

Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali!
 
hiyo si kazi yetu nenda shule uliza vitu vya maana na si hivyo
 
Kama hujui sema SIJUI. Kama si kazi yako ni kazi ya nani sasa? Vitu vya maana ni kama vipi mbona husomeki? Au mi kuuliza humu ndiyo tatizo? Tafakari tena mkuu.
 
Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo:

"Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?",

Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali!

Dad, how many older siblings do I have?
 
Sidhani kama waingereza wana maswali kama hayo... Wanajulishwa na wazazi wao kabla hawajauliza
 
Back
Top Bottom