Haina tabu sana zaidi ya kwamba lazima mzazi/mlezi abebe blanketina mto maalumu,vyakula,toyys,maji, na mtoto akae kwenye kiti kikubwa kama ni mtundu.kitaalamu,kwenye ndege hasa wakati inapaa kuna tofauti ya msukumo wa hewa (pressure)ambayoni kubwa inaweza kusababisha kupasuka kwa ngoma ya sikio,au kuleta msukumo ambao unamfanya mtoto awe kama kiziwi kwa muda fulani,ataathirika pia na pumzi ambayo itakuwa inabadilikabadilika(irregular breathing)na wakati mwingine mtoto anaweza kujijengea kawoga ka misha kama vile mchezaji wa timu watimu ya taifa ya ufaransa yeye ndege marufuku