Is it True Cheating is expensive for Men

NgomaNzito

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
559
Reaction score
28
Haya yamenikuta kweli Bibie home hataki kuduu na mimi nina hamu ikabidi nicheki binti mmoja tupo nae jirani akakubali sasa tukaenda nae sehemu sehemu nikaanza kupiga cost
Taxi: 15,000 two way
Room: 25,000
Drinks & sosi:35,000
Mshiko kwa bint:30,000
Voucher:10,000
Total cost: 115,000

Kweli MBA tuna balaa gharama yote hiyo kwa kitendo cha muda fupi lakini kimesababishwa na huyu bibie home kunikatalia kuduu tufanyaje?

Nawasilisha hoja

 
Mzee unabahati....kuna wengine sababu mjini ni maarufu sana huwa tunawavusha Zanzibar kujificha! Usafiri tu 150 USD kwa ndege wote wawili kwenda na kurudi na Hotel kule visiwani ya kawaida ni kama 75 USD piga siku mbili, hamjala wala kunywa na hujamfanyia shopping!
 
Hapo juu mkuu hoja siioni, kwa nini uko na mtu nyumbani ANAYEKUKATALIA kumegwa, why uko naye in the first place,

pili, alivokukatalia ku do ulimtaarifu kuwa unaenda kutafuta alternative? sasa gaharama ni sehemu ya mchezo, hiyo ndo opportunity cost ya kutaka kumega pengine...
 


Komredi msosi wa pale Mercury bei yake imechangamka! mi ndo maana najifungiaga na nyamayao wangu tu....🙄
 
mazee hata mimi hayo hayo yamenitokea kukataliwa kudoo then nkaenda mega nje,enbwanae invoice yake si mchezo,lakini mimi nawalaumu sana wake zetu hawa,wanapenda sana kutumia kigezo cha kukunyima mechi mkiwa mumeudhiana mambo ya kawaida tuu,tena ya kutalk na kumaliza,yeye ananuna anasusa kila kitu,sasa ukweli ni kuwa wanaharibu aidi ya kujenga,mi nlijua nipo peke yangu kumbe looh,wnawake hawa wana mchango mkubwa sana kutuharibu kimaadili,si kumega nje tuu,unaweza toka kazini ukaamua daah kuliko niende hme nimenunuwa bora nipombeke till mid nite nkaangushe basi!!u cee wake zetu acheni adhabu za kijinga hizo!
 
Mzee starehe gharama mkuu.
Unalalamika pesa ndogo hiyo mm nilikuwa natoa 70,000 kulitachi nywele kila wiki sasa piga hesabu zingine hapo.
 

mazeee this is very ukweli, kinamama wengi ndoani huwa wanaamua kutumia ile haki yetu ya ndoa kama silaha! wengine husingizia uchovu na vijisababu vingi vingi tuuu.hili ndilo linalotupelekea kupombeka kwa sana na kuwa na nyumba ndogo( japo wengine ni hobi), gharama zikiwa kubwa kwenye urefu wa kamba unakutana na house girl anacheza cheza, kama una moyo utamuacha vinginevyo.............................
 
na bado nyie chiting tu.Sasa wamama tumeamka tunajikita kujenga future ya wanetu tu,tunamove on nyie acha mue TMA haya maisha yana mwisho.Najiuliza hivi kama kungekuwa na adhabu ukimega nje unatoka jipu moja kubwa usoni nyie MBA mngekoma tu
 
Kimsingi ulikuwa na alternatives na ukachagua hiyo ambayo kwako uliiona ni rahisi. Ulikuwa na uchaguzi mwingine ambao gharama yake ni ndogo:
 
Hayo ya raha kujipa mwenyewe noma tamu ya raha mpeane

Yeah ndo hivyo mkuu lakini wengine wanapenda sana penzi binafsi wanadai ni safe hata mpwa Masa iwa analifrahia sana hilo.
 
Wewe ungekubali yaishe. Kama mwenzako kanuna beba lawama wewe kama unataka mchezo uwepo. Mwambie umemkosea akusamehe, sema unampenda kiasi kwamba hutaki kumuudhi, lakini hupendi mkwaruzane. Mkumbatie na kumbusu, mwambie kwa kweli hakuna kama yeye katika maisha yako. tease her with a wide smile, itafaa zaidi ukitoka nje kanunue kanga yenye maneno mazuri e.g., 'nakupenda kuliko wanawake wote, mpambepambe kwa sifa kibao ukionyesha unataka muwe na furaha wakati wote. Wala hutahitaji kuomba mchezo, atataka mwenyewe nawe utafunga magoli upendavyo.

Sikia, hapo ungelipa sio zaidi ya elfu nne au tano, tena kwa faida maana mkeo atapendeza na utaiona zawadi yako kila mara anapovaa. Wenzetu miili haiwi tayari pale anapodhani unamtumia kumaliza haja zako na wala humpendi. Kama unataka mchezo siku hiyo jitahidi usionyeshe negatives. Hata kama mtoto kafunga "ng'ombe" sebuleni nawe ukakanyaga kwa kutoona, sema kwa upole kwamba darling naomba umfungulie ndama wa mwanetu aliyelala sebuleni, nadhani hukumwona nimemkanyaga.

Baadaye sasa, wakati umeshinda penalt kibao na sasa ulimi nje, mwambie kwa upole kwa nini mligombana wakati ule, mweleze uliudhiwa na nini ili yasirudiwe tena. Ningekuambia mengi lakini sielewi kama unaelewa ninachoeleza.

Leka
 
lakini na wake zetu nao mara nyingine wanachangikia sana kutengeneza mazingira ya kutafuta mapozeo. Sifagilii ila kikulacho ki nguoni mwako
 
Mzee starehe gharama mkuu.
Unalalamika pesa ndogo hiyo mm nilikuwa natoa 70,000 kulitachi nywele kila wiki sasa piga hesabu zingine hapo.

Nakushauri ujirushe na mabaameid kama mimi. Chumba buku 5, Tusker 4, chips mayai + kongoro na buku 5 ya kumtoa. Kwishnei! Gharama kiduchu huduma ileile! Hakuna kuritachi nywele wala nini!
 
Not only cheating is expensive but also stressful as hell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…