Japo mimi sio dr ila naweza kukusaidia ushauri.
Chunusi ni uchafu unaokuwa secreted na sebasous glands zilizoko ndani ya ngozi. Secretion hizi ni pamoja na jasho na excess fat na zinatakiwa zitoke nje kama jasho kupitia vitundu vidogo vidogo kwenye ngozi vinavyoitwa pores.
Mtu anapata chunusi baada ya hiyo secretion kushindwa kutoka kufuatia au ngozi kuwa na mafuta sana (oily skin) hivyo kuziba hivyo vitundu hivyo secretion kushindwa kutoka na kujidunduliza kuwa chunusi au mwili wake kutoa mafuta mengi zaidi, over secretion.
Kama ni vile vichunusi vya kawaida wakati akikaribia, hivi ni normal na hali ya kuja na kupita. Kama ni all the time hapo sasa huu ndio ushauri wangu.
Dawa ni
1. Apunguze vyakula vya mafuta ya wanyama mfano samli, nyama za mafuta na chips kuku wa kizungu.
2. Angeze mazoezi ya mwili ili kumtoa jasho na kuzibua zile pores.
3.Kunawa mara kwa mara kwa kutumia maji ya vuguvugu ili wakati wote kukausha mafuta vitundu viwe wazi!.
4. Atumie zile wipes za kuwafutia watoto mara kwa mara ila pia atafute wipes za ukweli kama za huggies etc maana famba zipo kibao!.
5. Asipake poda wala make up zozote zaidi ya dry lotion na inapobidi kupaka ahakikishe ananawa vizuri anaporudi home.
6. Kufuatia kuzitoboa au kuzikamua chunusi mara kwa mara, ngozi inakuwa demaged, kama kuchunika na vidonda vidogo vidogo, anything protein in nature in heal demaged skin!.
Vitu ambavyo ni protein in nature ni pamoja na parachichi, tui la nazi, juice ya tango, juice ya karoti, maji ya maharage au kunde, maji ya soya, asali mbichi, aloe vera, etc, etc, na sperms ni very rich pure protein!.
Angalizo:
Ziko chunusi nyingine ambazo zimepitiliza, zinaitwa acne, huu ni ugonjwa unahitaji matibabu hospitalini!.
Pasco.