Is it true kwmb condom haizuii ukimwi ??

Faru_johny

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
343
Reaction score
304
Naomba explanation kuhusu hilo maana mara zote nimekuwa najiona salam kila nnapotumia condom ila kuna mtu kanitisha kwamb haisaiidii kitu.... Naomben explanation wadau...
 
Wewe kula tu mkuu ajali kazini, hata usipozini utakufa tu!
Nijuavyo mimi condom ni kapira kanakoondoa utamu wa mbunye tu! Teh teh teh!
 
Kondom zilitengenezwa mahususi kwaajili ya kuzuia mimba na sio virus.

Ukitumia kondom kama DUME zina asilimia kubwa ya kupasuka, na pia jua kuwa kadhi joto linavyo zidi na kondom nayo inatanuka=vitobo vilivyopo kwenye kondom vinatanuka, je utapona?

Kondom inaweza kuku saidia katika;

1. Kujikinga na magonjwa ya zinaa ( tofauti na ukimwi)

2. Kuzuia mimbwa kutungwa (ikipasuka ni kesi)

3. Inakusaidia usikojoe mapema, hivyo utatia kwa mda mrefu mpaka basi.

Kama mnania ya kujikinga na UKIMWI hakikisha mnapima kwanza ukimwi kabla ya kuanza kugegedana, mkisha pima mtaweza kufanya chochote mtakacho.
 
Lol.... Unazdi kuntisha mkuu maana hizo sehem nlizopita!!! Nkizifkiria naona bora nianze kuweka akiba ya kujinnulia jeneza mapema.
 
Condom inasaidia ila mpunguze mkomee bao mbili tu sio mgeuze hiyo ni kaziii
 
condom inasadia kukukinga na ukimwi endapo,utaitumia ipasavyo...nikiuliza hapa kuna mkuu aliyetumia condom baada ya tendo na kabla ya tendo...alivalishwa au alivaamwenyewe??alivua au alivuliwa???
wengi wetu watajibu alivaa na alivua mwenyewe...Tatizo hilo....condom moja bao zote....Tatizo hilo...ukimwi hapo hautoisha....condom inahitaji training ya miezi mitatu....ili uweze kuitumia ipasavyo....wengi wetu tunaitumia kienyeji....UKIMWI hautoisha kwa style hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…