Is it true Lupita muathirika?

Lupita nyong'oo mexican born actress really??
 
Kweli huu ugonjwa hauchagui, pale corner bar wazima ni wengi tu
Hizo habari si za kweli.

Houston Chronicle ni gazeti la kuaminika la Houston Marekani.

Hiyo website si ya Houston Chronicle. Wameongezea -tv.

Ni kama mtu aanzishe website ya habari na kuiita www.ippmedia-tv.com na kutaka kuwababatiza watu kwamba hii ni www.ippmedia.com

Fake news.
 
habari ya uongo na udaku haipaswi kuaminika
 
Uyo anao namjua toka kitambo sana toka utotoni namjua kua yupo positive
 
hata akiwa muathirika sisi haiwezi kutuathiri kwa lolote,maana hatuna access ya kumgegeda mkuu!
Ahahahahahaaaaa kwa watoto wa kiswazi wanaita hii in nyoko zaidi ya kumanina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…