Is It True Tz And Ug Ladies Are Better Than Kenyan

people always want to have what they cant have.....always

the grass is greener on the other side of the fence....
 
Taste ya wanawake ni subjective, ambaye unamuona mrembo labda mimi hanifurahishi kabisa. kitu ambacho naeza sifia wasichana wakibongo ni heshima yao na wanajua kutunza waume wao sana, on the other hand wasichana wakikenya ni very agressive na watu hu interpret hii kama disrespect, wanajua kutafuta mapeni na they dont prefer being housewives kama wasichana wengi wakibongo.. tumelelewa kwa enviroments different so lazima tu behave differently... and again beauty is subjective, one mans meat the other mans poison..
 
Smatta hapo nakubaliana na wewe
 
ndio maana wAnatoa TIGO
 
Always usikua nacho huwa kizuri,ukikipata sometimes ni shida kama wewe ni mtu wa kuangalia mwili na vitu vidogo kama hivyo,tabia yake yeye kama yeye baada ya muda wa kutosha ndo tatizo!
 
Lo! Ningekuwa niko single I would have gone for Kenyan husband. Because Tanzanian male don't realize what they have.

Unaweza kumucha na kwenda tu kukaa na mume hakulazimishwi nenda kwa wa kenya mama ukajionee teh:biggrin1:
 
people always want to have what they cant have.....always

the grass is greener on the other side of the fence....
Really!!! at least you saw the same colour
 
Mi nafikiri kila mwanamke awe kenyan. ugandian, tanzanian ana uzuri wa pekee kwenye macho ya mwanaume anayempenda.
 
Wakuu, kwanza mnisamehe kwa kuanzishe thread na kuwaacha pekeyenu; ni majukum tu ya pande zingine!
Naomba nitoe experience yangu, kwani nimeshawahi kuwa na mchumba kutoka kwa hawa jamaa zetu; na rafiki kutoka pande za mu7!
Sitamuongelea wa kwam7, kwani alikuwa rafiki tu, hatukuwa na mipango yoyote ya mbele zaidi ya viburudisho, teh teh (wife nisamehe, ni enzi zile bana). I loved this girl (kinyan), kadri siku zilivyoenda nikaajigundulia mambo mengi sana (Hatuongelei personal issues)! Kubwa la yote hawa mtoto alikuwa na kisirani na tabia za kununa ovyo; sikku niliyokata shauri ni pale tulikuwa na kutofautiana kidgo kati yake na mimi, mwenzangu katoka nje kafunga kibwebwe na kuropoka ovyo na majirani wanaskia, nambembeleza tuongee ndani tuseto mambo ndy kabsaa kama namchochea (aliniembarass kiasi chake). Nikakaa, nikafikiri na kuunganisha matukio, girlfriend wangu mmoja toka pande za somali ameishi nao sana hawa watu; akanitobolea kuwa MIMI KAMA NI MTANZANIA NILIYEKULIA KATIKA FAMILIA YA KIBONGO ITANIWIA NGUMU KUISHI MILELE NA MKENYA!!

NAWAPENDA SANA WANAWAKE WA BONGO; HASA "WATANZANIA HALISI" I LOVE MY WIFE, A TRUE TANZANIAN WOMAN!
NYUMBA YANGU INA FURAHA SANA KWA AJILI YA HUYU MAMA!
 
Mi nafikiri kila mwanamke awe kenyan. ugandian, tanzanian ana uzuri wa pekee kwenye macho ya mwanaume anayempenda.

Tukiongelea uzuri ni sahihi!! Tunaongelea maisha ya kifamilia, unaweza kuwana mke/mume mzuri wa sura lakini furaha ndani ya nyumba hakuna!
 
Majinga tu hayo majamaa yanatumalizia dada zetu tu, kiukweli dada zetu ni wakali so mi sipendi wachukuliwe.
 
Ngoja nitafute wakenya na waganda wa kuonja nione wanataste vipi halafu ntarudi kuja kuchangia.
 
nahisi kila mwanamke wakila taifa ana uzuri wake mbele ya mwanaume ampendae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…