Yah navosema uzuri ni pamoja na hayo yote nimejumuisha, kila mtu anasababu za kumpenda msichana fulaniTukiongelea uzuri ni sahihi!! Tunaongelea maisha ya kifamilia, unaweza kuwana mke/mume mzuri wa sura lakini furaha ndani ya nyumba hakuna!
TZ's women are the best but unfortunately TZ's men are the worst!
Really!!!!!!!!!TZ's women are the best but unfortunately TZ's men are the worst!
Mwanamke ukishasoma unajisahau na kujilinganisha na mwanaume, kumbe unapotea tu,mbona hata hapa pia wengine wako hivo?Mi nina mtazamo tofauti,elimu ni tatizo.Wanawake wengi(si wote) wakishapata elimu,degree,masters,PhD e.t.c ,hawashikiki kabisa,kiburi na jeuri kwa saana.Most of kenyan gals are highly educated compared to Ugandan and Tanzanian gals!
Aisee Ennie, hebu ipe uzito sentensi yako bana!
Halafu hii si ya kwanza kuiskia, hasa kwa wadada wa aina flan faln wakiponda mameni wa kibongo!.....hebu tupe uzoefu wako kidogo
!