Kwani rafiki lazima awe wa jinsia yako?, naamini rafiki aweza kuwa wa jinsia tafauti ila tabia si rahisi kuwa tafauti, marafiki huwa na urafiki ajili ya tabia zao kuendana/kulandana. marafiki hutafutana kutokana na kuona kuwa wanafanana katika mifumo ya kitabia na kimaisha.