Akiulizaga anapata majibu , funny enough she cant deal with the answers she gets. Maybe wanawake sometime wanaencourage guys to lie because of the reaction we see due to their handling of the honest answers we give.
swali la kizushi:
Can you guys handle the whole truth ?
...Kina kaka ni vitu gani huwa hampendi muulizwe na vipi mnaona sawa kuulizwa? Kina dada je?
Sana tuu, personally i would rather have ackward moments of truth than mafumbo fumbo..demu katongozwa mchana mzima anauchuna.
Heee hata hii huwa mwataka tuwaambie? Wengine vifua vidogo jamani hamkawii kwenda kuwakwida mashati watongozaji. Wengine marafiki zenu jamani ah!!
...sipendwi kuulizwa swali ambalo jibu lake lipo obvious!
mfano; mtu anakuona upo 'bize' na JF, anakuuliza " ...hulali leo? ", ebo! kwani mie ni mtoto mdogo nisiyejua time ya kulala?
...au, 'bahati mbaya' ulitoa intro kwa mamsapu kuhusu yule binti mrembo aliyeajiriwa ofisini kwenu. Siku ya siku mmekwaruzana kidogo mamsapu anaanza, "..hajambo yule 'fulani' ?!" ...halafu kila jibu utalolitoa linazaa swali jipya!

WoS dada we acha ukisikia relationship ujue zipo za aina nyingi.
I have SEEN dada shost yangu nafanya nae kazi yaani huwa namwonea huruma. Si kwamba anadanganya bali ni katika kujaribu kukumbuka vitu alivyofanya mchana huo ili akiulizwa asijeshindwa kujibu maana akishindwa ni ugomvi. Sometimes huwa anaulizwa wakati nimekupigia simu ulipokea ukiwa unacheka, ulikuwa unacheka nini na nani na kwa nini ? au ulikuwa unanicheka mimi kukupigia simu' sasa swali kama hili unaweza kujibu kama alikupigia mara moja mtu mwenyewe ni kila baada ya nusu saa anapiga so itabidi ukumbuke ni simu ya ngapi ndo ulipokea ukiwa unacheka yaani ni adhabu.
....ha ha haaa...π lakini huyo dada anakosea, kwanini mumuwe akipiga simu yeye acheke? π
...hata hivyo si amwambie tu mumewe, "...nimefurahi umenipigia mume wangu!"
Inawezekana huwa si maana halisi ya hulali leo kwani yeye hajui kuwa wewe ni mtu mzima? Si ajabu anamaanisha anakuhitaji kitandani jamani Mbu!
...Hiyo ya binti mrembo mh mie macho tu. Wengine hutoa introduction upande mmoja huyu dada tunafanya nae kazi halafu kamaliza sasa ukimwuliza mbona umeintroduce nusu anakuwa mkali. Tuwaeleweje?
hahahahaha...like u said wengine..yeye anaenjoy ukimpa story za mademu wao kufuatilia why not the other way...too bad she aint a member of JF, actually she hates it, sio mzalendo LOL..Therapy tosha!!
....ha ha haaa...π lakini huyo dada anakosea, kwanini mumuwe akipiga simu yeye acheke? π
...hata hivyo si amwambie tu mumewe, "...nimefurahi umenipigia mume wangu!"
hahahaha kapinga kwetu wengine itakuwa ngumu asa mfano best friend wa mtu wako anakutokea of coz huwa wanajaribu kwanza ila ukikubali anakula then moto huku akiwa keshakuchafua PR yako. Sasa mfano kama huu akikutokea nawe ukamtolea nje kuna haja ya kukwambia openly kuwa best yako kafanya hivi au tuogope kuwa gombanisha?
Sana tuu, personally i would rather have ackward moments of truth than mafumbo fumbo..demu katongozwa mchana mzima anauchuna.
Ahi! Asa si ndo uongo wenyewe huo au wa hivi unaruhusiwa?
Mi na chafua tuu...ili mradi waifu can handle the heat, coz wengine huwa wanasikiliza marafiki zao sana...
Mj'1, bora mamsapu aniambie hivyo kuliko aniambie; '' ...si huyu 'chokoraa' alikuwa akinishika shika! '', loh! ...na kazi itakuwa basi siku hiyo hiyo! π
Duh kaaaazi kweri kweri umenikumbusha zamani kuna BF wangu mmoja aliwahi kunituhumu kuwa na mahusiano na best friend wake kisa huyo shemeji yangu alinitokeaga nikamtukana sana ila sikumwambia BF zaidi ya kuishia kumwambia yule rafiki yako simpendi, ukiulizwa kwa nini nasema basi tu simpendi moyo haunipi kabisa yaani ikiwezekana ukiwa nae usiniite wala msinipitie kazini. Ila alipokuja kusikia toka kwa friend yake mwingine (nadhani that guy alikwenda kumsimulia) asinigeuzie kibao kuwa nilikuwa natoka naye? pamoja na kuelezwa nilivyo mtukana!! Basi nikajifunza tangu siku hiyo huwa nasema halafu watajuana wao.