MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #41
Ahaa!Kuna mtu kauliza swali la kujiexpress? Naomba nione tafadhali....na ukitaka kujua mtu anatumia mtandao huu au hatumii utaulizaje?
...naam. Hata mimi ningekuwa yeye (BF wako) ningefikiria the same. Kuficha maana yake ulitaka kuweka kiporo, siku ya siku uje ukile kwa nafsi yako. Ukimpiga kibuti shemeji yako, niambie tu ukweli, ukisema "..yaani, namchukia basi tu", am receiving wrong message.
Mi na chafua tuu...ili mradi waifu can handle the heat, coz wengine huwa wanasikiliza marafiki zao sana...
Ahaa!
Kwa maana ya kuwa vitu gani uulize na vipi uuchune? Makubwa haya ya Tigo mwenzangu sipati picha. Eti unamwuliza mwenzi wako unatumia Tigo au la? akikujibu anatumia utafanyaje kama wewe hutumii? wengine hawatumii ila ukimwuliza atasema ndio afu imekula kwako
hehehe yaleyale kama wewe unatumia na mwenzio hatumii si unamfundisha kwani kuna ubaya hapo jamani kama kweli mmependana au mmpendana kinamna namna tu umempendea jamaa mshiko nini.
...ha ha π eti unamfundisha! mnh, yataka moyo mazee! ukiulizwa kwanini unang'ang'ania utasemaje?
hehehe yaleyale kama wewe unatumia na mwenzio hatumii si unamfundisha kwani kuna ubaya hapo jamani kama kweli mmependana au mmpendana kinamna namna tu umempendea jamaa mshiko nini.
Issue ya tigo inategemea na jinsi relationship yenu ilivyoanza and what type of woman you are with..kuna wengine tigo is just part of the sex procedure, start with foreplay and end with anal. Mwanamke uliyempata katulia na anajiheshimu ngumu sana kupropose this issue, kwanza aatanza kufikiria ndo mchezo wako with all the exes u have been with. Mimi nimeshawahi kuwaintroduce kwenye party 3 of my ex kwa waifu...yani maswali hayakuisha mwezi mzima...like i said before women are interesting creatures but we still love them.
KApinga I love your woman hahahahhahah my wifi. Anajua kukaba hadi penalty.
Ni noma...anasura fulani na jicho fulani akikupa ujue ni wakati wa ze comedy utajichekesha siku nzima mpaka arudi to the normal state..lakini ndo inabidi sasa ...u make a choice u commit and deal with what comes with the territory, if u cant handle it , u aint meant to be in this relationship stuff.
hehehe mapenzi bana ni kichaaa kha!hivi wakuu mapenzi yana formula?
Au kila mtu na style yake na kina mtu na techiniques zake?
...Mimi nimeshawahi kuwaintroduce kwenye party 3 of my ex kwa waifu...yani maswali hayakuisha mwezi mzima...like i said before women are interesting creatures but we still love them.
Ni noma...anasura fulani na jicho fulani akikupa ujue ni wakati wa ze comedy utajichekesha siku nzima mpaka arudi to the normal state...
...itakuwa nafuu iwapo tu hao Ex-gals watakuwa wamechoka choka, lakini wakiwa bado wanamvuto ebana weee! ...hata kama mpo kwenye party saa hiyo hiyo bibie atang'ang'ana mrudi nyumbani akakuanzishie 'bunge'!
...ha ha haaa...π pheeeeeeeeeeewww, heri ya wangu asiyejua kununa!
hehehe mapenzi bana ni kichaaa kha!hivi wakuu mapenzi yana formula?
Au kila mtu na style yake na kina mtu na techiniques zake?
...hayana formula mazee, una solve moja unapata swali jipya ndani ya jibu!
mpaka nywele nyeupe zitoke labda nitakuwa na busara.
...simlaumu Kapinga na huo u-Alpha Male kwa wanawake wetu wa kibantu, maana hachelewi kukutamkia hadharani, ..."leo umepika vyombo umemuachia nani avikoshe? na jikoni ukadeki...(+msonyo!)"
My Sweet Cherries Belinda You know what, I am just thinking...It would be truly worthwhile to give up the world for your kiss...I can not stop thinking about you anyway Friday haiko mbali
Hebu wape experience yetu ....si unajua tena I am always here to give you a lovely backing
Masa