Is it true....?


Hongera, kunawengine wakipewa hio viza ndo kama umempa chizi rungu...ila kama hiyo viza inatoka kwa wote wawili basi mambo poa! Mimi binafsi napenda mambo yetu yaende at par (sijui nimepatia yani kwa kikwetu sambamba).
 

The Following User Says Thank You to BelindaJacob For This Useful Post:

...sasa mkuu "thanks" peke yake bila kusema lolote maana yake unakubaliana na BJ akeshe nje mpaka kesho yake, au basi tu unakubali kufa na tai yako shingoni? sema bana usikike... mi sipendi unyanyasike bana!
 
...sasa mkuu "thanks" peke yake bila kusema lolote maana yake unakubaliana na BJ akeshe nje mpaka kesho yake, au basi tu unakubali kufa na tai yako shingoni? sema bana usikike... mi sipendi unyanyasike bana!

Mazee you have missed it, nadhani Masa ndo wa kupewa hiyo visa ....hata nikirudi asubuhi BJ atakuwa anajua nilikuwa kwenye safe hands! Kama BJ kurudi majogoo hiyo ngumu mpwa wangu!
 
Mazee you have missed it, nadhani Masa ndo wa kupewa hiyo visa ....hata nikirudi asubuhi BJ atakuwa anajua nilikuwa kwenye safe hands! Kama BJ kurudi majogoo hiyo ngumu mpwa wangu!

...dooooh! sidhani kama nilivyomuelewa, ngoja aje mwenyewe hapa BJ atuhabarishe! 😀
 

huu ni msumeno ndugu yangu... unakata kotekote.
Yanawapata hata wadada siyo wakaka tu!
 
Heee hata hii huwa mwataka tuwaambie? Wengine vifua vidogo jamani hamkawii kwenda kuwakwida mashati watongozaji. Wengine marafiki zenu jamani ah!!

MJ1 waambie ndo ukweli!
Jinsi wanavyowatongoza wa wenzao, na wao wanatongozwa hivyohivyo!
 
MJ1 waambie ndo ukweli!
Jinsi wanavyowatongoza wa wenzao, na wao wanatongozwa hivyohivyo!

Mzee akirudi jioni anakwambia unamfahamu mama flani na wewe unaitikie eheee anakwambia ananitaka na ukiangalia mama mwenyewe amejaaliwa kila kitu kuliko wewe,utafanyaje?
 
Dude its like u opened a page in my relationship..muulize swali yeye utasikia 'i dont need this mara simu zinakatwa mara u stress me' wanawake viumbe vya ajabu..we still love them though.

Kapinga,saa nyingine bembeleza,dekeza kidogo basi jamani,kwani utapoteza nini jamani.
 
Mzee akirudi jioni anakwambia unamfahamu mama flani na wewe unaitikie eheee anakwambia ananitaka na ukiangalia mama mwenyewe amejaaliwa kila kitu kuliko wewe,utafanyaje?

Cha msingi kutakana or not, haimaanishi ni mashindano ya nani zaidi! Ingekuwa hivyo - haya yote tunayoyajadili hapa tungekuwa na majibu tofauti.
Kwa kujibu swali lako kuwa ningefanyaje? Ningempuuza tu maana najua kuwa the fact kuwa kaja kuniambia kwa style hiyo ni kuwa yeye huyo bwana hana confidence...anajifikiria kuwa ni inferior na anadhani kwa kusema hivyo atajazia mapungufu yake.
 
SWALI ZURI. Ngoja nione watu watavyokuja 'kujikaanga' hapa!... 😀
Hakuna haja ya kutaka kujua fine details za previous relationship za spouse wako.Kwa mfano,Ashakum si matusi, kuna haja kweli ya kujua former boyfriend wa mkeo anavaa 'kiatu' saizi gani? au demu wa zamani wa mmeo aanavaa sidiria saizi gani?
 


ndoa zina mambo, hiyo mbona kama ni adhabu tena jamani!..kwangu mie nadhani hata kama ni mkeo/mumeo kuna wakati sote tunatakiwa tuwe na mambo binafsi( sio kila step ya mwenza wako ikuhusu) kama mie napenda kuhusika na yale muhimu tu, kama tupo ma ofcn naweza kumcal kuongea nae ile ya kum mic tu na kila mtu aendelee na kazi yake, ukitaka kumchunguza bata hutamla na ndio mwanzo wa migogoro isiyoisha.
 



na ukishamueleza ndio amani hamna tena, ataamini kama kweli umemkataa huyo frnd wake? na akajiuliza kwanini frnd wangu anitongozee wife, dharau ama? basi mwanzo wa ugomvi usioisha kwa kila upande, hii haijakaa vizuri, ukichelewa kidogo home uchelewi kuulizwa au naniii bado anakusumbua ndio mana umeanza kuchelewa nyumbani.
 
...tena ukimkazia macho akuambie ukweli kama hajatongozwa anaanza kujichekesha chekesha! aisee inaudhi wewe! 😡



jamani hivi hakuna cha kuongea mpaka nianze kukuambia hivi na hivi na ili isaidie nini, nahisi najua mie ni mke/mpenzi wa mtu natakiwa nijiheshimu/nijitunze na najitambua pia, haa kuliko tuyaongelee hayo Mbu msaidie mtoto homework zake.
 
Kwa kweli ni moja ya mambo yanayoniudhi sana. Nimetoka kibaruani napitia mahala tunaongea na just friends mambo ya kujiendeleza kimaisha. Unafika home my wife anaanza ulikuwa wapi? na nani, mliongea nini? yule dada wa nguo ya njano alikuwa nani kwako,,,, bla bla kibao. Jamani nawaambia UKIITWA MWIZI NA WEWE HUJAIBA sometimes unatamani kuiba ujue kuiba huko kuna nini na pengine uhalalishe wizi huo. Hujafanya kitu unaambiwa umefanya. Hivi kwa nini tusijenge uaminifu kwa wenzetu?
Unakuta hata wanaume mke yuko mbali anafanya kazi anaamua kuja ghafla eti kumfumania mke? Mnatafuta nini? si kama umemchoka mwenzako mwambie! Mweleze ukweli badala ya kutafuta vijisababu. Ama ndo tuseme ni Wivu huo? Inakera sanaa
 



kuna wakati frnd wake mr alitaka kucheza rafu, nilijaribu kumwelewesha ki utu uzima lakini hakuwa anaelewa, kuona imekuwa usumbufu ilibidi nimwambie mr "mwambie fulani ajifunze kujiheshimu, akuheshimu na wewe kama frnd wake wa kitambo na pia aniheshimu na mie kama mkeo"...baada ya cku kadhaa yule kaka alinical kuniomba msamaha na kuomba yaishe alipitiwa, kwasasa ndio frnd wa mr mwenye nidhamu kwangu 100%, nyie wanaume mkitaka kujua haya mambo kwamba leo mke/mpenzi wangu katongozwa na nani hamtakuwa na maeleweno kwenye huo uhusiano hata chembe.
 

Huo ndiyo ukweli.
Nadhani hakuna anayefurahia maisha ya kufuatwafuatwa kwa vijiswali au vijineno visivyokuwa na msingi wa kujenga uhusiano bali kubomoa.Kero hizi huleta bad blood in the relationship.Ni vema kutokuhangaika sana kumchimba mwenzio - kama huwezi kuamini basi bora usiingie kwenye uhusiano.Kumbuka huyu ni mtu mmekutana ukubwani na hivyo tabia zilishakomaa, ni ngumu kumbadilisha tena.Kama alikuwa na tabia mbaya na ukaridhika wakati wa uchumba, usidhani utaweza kumbadilisha.Kama hukuziona kwa vile ulipofushwa na mapenzi basi bahati yako mbaya.Kwa kumchimba unadhani itakusaidiaje kuishi maisha ya furaha na amani.Binafsi I DONT WANT TO KNOW DETAILS OF WHAT HE IS DOING WHEN IM NOT THERE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…