BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Penny
Usituharibie wake zetu bana....my honey can not do that to me....believe it....kwanza hana mambo ya kiswahili...got it?
Pole na kazi shem si unajua tena ndo zituwekazo humu duniani tena...kwa kweli beiberry (Balantanda) is very fine, ni huo ubize tuu wa hapa na pale ila ataonekana hivi karibuni. Mimi naamini nyinyi na your Bellies you are fine...tatizo ni kwa hao miguberi mingine wasioelewa what goes around comes around.
Shosti hapa umeniacha hoi maana mimi na mashosti zangu tunapenda sana kutumia huu msemao( in bold)..I hope sikufahamu, maana nimecheka kweli..
Kumbe unayajua maguberi....he he
Penny
Usituharibie wake zetu bana....my honey can not do that to me....believe it....kwanza hana mambo ya kiswahili...got it?
Ni vitu gani tusivyopaswa kuviuliza (kutaka kuvijua) toka kwa wenzi wetu?
" ...unamuwaza nani?"
Ok, na je, ukiuliza "unawaza nini?", ...pengine unamkuta kazubaa kama mjusi kabanwa na mlango au unamuona hiyo siku yupo yupo tuu hana raha utadhani anamsiba vile!
Itabidi tuu niridhike maana kama hataki kusema siwezi kumlazimisha ndo maana nikatimiza wajibu wangu wakuuliza...kumbe haipaswi kuuliza iwapo utaona tofauti! Hee, sasa mnataka muishi kama wanyama jamani....akikujibu "...siwazi lolote!" utaridhika?
Itabidi tuu niridhike maana kama hataki kusema siwezi kumlazimisha ndo maana nikatimiza wajibu wangu wakuuliza...kumbe haipaswi kuuliza iwapo utaona tofauti! Hee, sasa mnataka muishi kama wanyama jamani.
My kipurply, pengine yawezekana chemistry zetu zinarandana...niache kuyajua shosty! na kila sababu ya kuyafahamu kama ni mtoto wa mujini especially my beloved Bongo land.
Kabisa beste yaani nimeshangaa kimtindo ila safi sana!..Waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba shosty wangu, ha ha
Mutoto ya Mujini weye au siyo!..Inapendeza,bongoland tambarare. Kila kitu yaani kuanzia mabomu, ha ha
Yamewabomoa wabongo! yani hujui baghdad ndogo imetokea bongo land?Mabomu yamefanya nini tena ??
Swadakta shosti! poleni kwa mabomu...maana naona baghdad iliwawakia kiana. Anyway ndo mazoezi yenyewe hayo...nilisikitika sana kukosa Jeshi yani! lakini nililipataga kazoezi kajeshi kwa sekondari moja niliyosomaga kule lushoto ilikuwa ya masister...natumaini umeipata shosti, so am not bad also katika maswala ya kulala chini chali.
Usisite kunisahihisha my shosti siunajua tena lugha ya mama ni ngumu kuisahau hata kama zitaingiliana na lunga za kina thacha!Umenichekesha kweli, eti 'am not bad also katika maswala ya kulala chini chali'..Unajua hapo umemaanisha nini? Maana kama upo mbali kidogo na mabomu hulali chali bali kifudifudi hata kwenye movie naonaga hivyo.Mweeh!JKT mwenyewe najua historia yake ila haijanipitia,nimekupata mambo ya lushoto pazuri acha tu..Anyway shosty,tatizo umeshazoea lugha ya malkia na kiswahili mpaka kinakutoka..ha ha ha
Penny za siku mbona umeadimika jamani kwenye jukwaa letu tukufu hili? Au umeamia kwenye siasa?Usisite kunisahihisha my shosti siunajua tena lugha ya mama ni ngumu kuisahau hata kama zitaingiliana na lunga za kina thacha!
...tena ukimkazia macho akuambie ukweli kama hajatongozwa anaanza kujichekesha chekesha! aisee inaudhi wewe! 😡
Ni noma...anasura fulani na jicho fulani akikupa ujue ni wakati wa ze comedy utajichekesha siku nzima mpaka arudi to the normal state..lakini ndo inabidi sasa ...u make a choice u commit and deal with what comes with the territory, if u cant handle it , u aint meant to be in this relationship stuff.
hivi kwa mfano??? dem akakwambia ametongozwa itakusaidia nini????