itakua alimuibia password yake,au km jamaa kuna siku alisoma mail zake akasahau kulog out imekula kwake,vinginevyo kuna mtaalamu hapa alikuja akasema kama mtu anataka kumfuatilia mtu wake kama anacheat kwenye mail au simu amuone,inawezekana mke wa jamaa yako mwanachama hapa na aliona tangazo akafatilia.Hivi jamani wana wenzangu Jf...kwanza hamjamboni na poleni na shughuli. Ningependa kujua mtu anaweza ku access e-mail ya mwengine bila kujua password yake. Na je program hio inaitwaje, na je, utawezaje kujua kama mtu alikuwa ana access your mails. Maana yamemkuta jamaa mmoja wife alikuwa anafanya hayo mambo na akamuumbua na yote aliyokuwa akiyafanya humo ndani ya email. Ningependa kujuzwa katika hili wapendwa. Asanteni.
itakua alimuibia password yake,au km jamaa kuna siku alisoma mail zake akasahau kulog out imekula kwake,vinginevyo kuna mtaalamu hapa alikuja akasema kama mtu anataka kumfuatilia mtu wake kama anacheat kwenye mail au simu amuone,inawezekana mke wa jamaa yako mwanachama hapa na aliona tangazo akafatilia.

ha ha ha pretty unatafuta ugonjwa wa moyo bila sababu.next time msaidie ku-logout..........Huyo atakuwa alisahau kulog out, mie mwenyewe my hubby mara nyingi anasahau kulog out, huwa nachungulia email zake.........bahati yake huwa sikuti email za ajabu ajabu.
.........Huyo atakuwa alisahau kulog out, mie mwenyewe my hubby mara nyingi anasahau kulog out, huwa nachungulia email zake.........bahati yake huwa sikuti email za ajabu ajabu.
.........Huyo atakuwa alisahau kulog out, mie mwenyewe my hubby mara nyingi anasahau kulog out, huwa nachungulia email zake.........bahati yake huwa sikuti email za ajabu ajabu.
Kwa mfano ungezikuta za ajabu ungefanya nini?
angemwonyesha 'cha mtema kuni' lol
LOLZ! Nimekoma kuchanganya valuu na bia. Ngoja nikazimue mitaa ya Shimo La Udongo.
tatizo lako hommie ushauri wa wadau unauweka kapuni...raha ya mnywaji ni kwamba hasikilizi ushauri wa mtu aliye sober hata siku moja....lazima amsikilize mnywaji mwenzie hahahahaah...do ze nidiful
Hahahaha! Hommie! You are always sober! Sasa ntakuwa nausikiliza ushauri wako sober boy...............Ndovu bana! LOLZ!
hahaha habari ndo iyo. zey do ze nidiful sio nchezo! tatzo supu za shimo la udongo huko.....😀