Hata Mimi nimeshangaa mkuuAwali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Yes Rais wa wapiga chabo.Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Huyu atakuwa shemeji yako bila shaka. Unajipa moyo walau akiukwaa urais uambulie kazi ya mnikuluYes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Huyu msanii mtandao wake bado unafanya kazi. Watanzania wameshajua namna ya kumpata rais anayefaa. Mtu mchapakazi sio fisadi hatafuti makuu wala kuanzisha mitandao kwa hela za kifisadi. Januari hana sifa hizo ila watu wanashangaa kwa nini anafikiri anaweza kua rais wa nchi hii. Mungu apishilie mbali.Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Umeuliza swali,umetuambia au umefanyaje mbona uzi haueleweki!Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Mzee Makamba: Rais Magufuli Amefanana na Yohana Mbatizaji.
Wote tunafahamu kuwa Yohana Mbatizaji alisafisha njia kwaajili ya Yesu.
Basi itoshe tu kusema huifahamu siasa!! Makamba hamna siasa anazozijua zaidi ya siasa za Twitter wakati mwenzake Twitter yupo, on ground yupo!!!
aisee we mkali sidhani km kuna haja ya kuendelea kusoma maoni ya watu wengineAwali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
Duuh! umefika mbaliUnamaanisha maono ya Lema yatatimia?