Haha, yani mkakati wa kuwamaliza nyie ni mdogo sana, tena sana. Tutawamaliza kwenye bei tuu, "race to zero". Huku mna mkopo na huku Tanzania anashusha bei mpaka bure. mtakuja wenyewe kutuomba samahani.
Nchi mbaya halafu watu wake wengi wenu mna husda roho za korosho wivu na kujikweza mumebarikiwa.Kha!! Wenyewe mlete mada ya kujitapa halafu mkijibiwa mnatokwa na povu na kutukana, hehehehe..... Mtajibiwa tu siku zote...
Kha!! Wenyewe mlete mada ya kujitapa halafu mkijibiwa mnatokwa na povu na kutukana, hehehehe..... Mtajibiwa tu siku zote...
Uwezo tunao, huku gharama zetu ziko chini kila wakati. Kuanzia mishahara mpaka malazi, kodi ndio hizo Magufuli anazipanga zinashuka.Mshushe to zero wakati leo hii mnaomba omba mkopo hadi kutoka kwa Zuma eti akawatetee, nyie mna misuli ipi ya kumtunishia Mkenya.
Budda, tuliza povu bana. Uu uharo wote wa nini?Nchi mbaya halafu watu wake wengi wenu mna husda roho za korosho wivu na kujikweza mumebarikiwa.
Uwezo tunao, huku gharama zetu ziko chini kila wakati. Kuanzia mishahara mpaka malazi, kodi ndio hizo Magufuli anazipanga zinashuka.
Hivi huyu ni wewe kweli au akauti "wamekwapuliwa". Unarusha hadhithi sasa mambo ya Lumumba yanaingiaje hapa. Swali dogo, kutengeneza kibiriti Kenya na kutengeneza Tanzania wapi itakugarimu zaidi?Uwezo hamna, naona kote ni kilio sasa hizo gharama zilizoshuka ni zipi, labda kwa wana Lumumba street ambao hupokea ruzuku kwa ajili ya kuendeleza propaganda za mitandao. Wengine wote ni kilio na kusoma namba kwa kwenda mbele.
Even credible is wrong, kwani ni news site?Mimi lishakuambia ukiona kosa rudi nyuma kabadilishe, khaa mtoto huna dogo..[emoji23]
MOD tafadhali tubadilishie heading isomeke CREDIBLE Maana wenye lugha yao wakenya wanagomba hapa.
hivi mkuu, Zuma alikubali ombi la hawa walala hoiπMshushe to zero wakati leo hii mnaomba omba mkopo hadi kutoka kwa Zuma eti akawatetee, nyie mna misuli ipi ya kumtunishia Mkenya.
Ethiopia is still authoritarian country, gov oversee everything. Even USA can't penetrate on Ethiopian market, if it was that simple, Kenyans would've been in Ethiopia since 1900s (yeah, 1900s) [emoji23]
hivi mkuu, Zuma alikubali ombi la hawa walala hoiπ
wacha ata spelling mistakes...wewe unajua maana ya neno hilo credible? eti is the port credible? heheheheMimi lishakuambia ukiona kosa rudi nyuma kabadilishe, khaa mtoto huna dogo..[emoji23]
MOD tafadhali tubadilishie heading isomeke CREDIBLE Maana wenye lugha yao wakenya wanagomba hapa.
Tihihihi... Credible Port.. Wah!Even credible is wrong, kwani ni news site?
mwelewe tu unajua ni mbongo..ππKiingereza ilikuja na meli..Even credible is wrong, kwani ni news site?
Nchi mbaya halafu watu wake wengi wenu mna husda roho za korosho wivu na kujikweza mumebarikiwa.
Is this a literature class, or the topic about Lamu port. How come your not contributing on Lamu port?wacha ata spelling mistakes...wewe unajua maana ya neno hilo credible? eti is the port credible? hehehehe
Is this a literature class, or the topic about Lamu port. How come your not contributing on Lamu port?
You took the word out of context, Kenya is building Lamu port with an intention to serve the local economy and also Ethiopian and South Sudan. But in order for that project to be profitable, Ethiopia and South Sudan need to come on board. But Ethiopia or South Sudan they haven't commit yet, and they're starting to look elsewhere. Do you still bealive the project Lamu can bring return of investment? What is the credibility of project?.