is LIKE equal to LOVE


Hahaa hahaaa haaa. Heri shari kamili kuliko nusu shari
 
Unafikiri the way wanawake wanavyosema I love you ni sawa na mwanaume anaposema hivyo?


Such a romantic.. yet you claim hating ME!!! lol Surrender tu EMT.
 
Reactions: EMT

saa nyingine Love sio lazima umjue mtu
waweza mona mtu ukafa gamvi gafla ....
loVe haiwezi kuwa LiKe


Like= una interest naye na like ni Crush ndio maana akakujibu hivyo
LoVE = way deeper feelings..
 
saa nyingine Love sio lazima umjue mtu
waweza mona mtu ukafa gamvi gafla ....
loVe haiwezi kuwa LiKe


Like= una interest naye na like ni Crush ndio maana akakujibu hivyo
LoVE = way deeper feelings..

hiyo deeper feel inaanza wakati gani?
au vigezo vyake ni vipi?
 
bonge la home work lakini mimi kijana wa mjini mjini nitazisoma tu


Nakuaminia kumbuka Time Is The Greatest Healear/teacher and that knowledge (which ever) must be demanded.
 
hiyo deeper feel inaanza wakati gani?
au vigezo vyake ni vipi?

wakati wowote
haina vigezo ni msisimko wa mwili na reaction
ya mawazo na jinsi mapigo ya moyo yatakavyoo
ongezeka, ni ngumu kuelezea sababu ni feelings..
 

Sidhani ni kwa wadada wa kitasha tuu, pia wanawake wengine. Huwezi ukakutana na mwanamke and ndani ya muda mfupi unamwambia I love you. Sijui atakuchukuliaje, kwa sababu hata mwanamke kumwambia mwanaume I love you inachukua muda. Love ni more emotive than like. Kwa mfano, mtoto wa kiume hawezi kumwambia mama yake I like you mom. Atamwambia, I love you mon. Tofauti hapo ni emotion zilizopo kati ya mtoto na mama. Wote tunajua kuwa love is unconditional. Kwa hiyo, you can't love someone in your first meeting. But you can like her/her.

Pia kitendo cha ku-admit mapema kuwa you love him/her unawezamtisha mwenzio. Men and women, admitting love is usually a signal that the relationship is growing to be more serious. Katika tofauti zote kati ya love na like, ni kuwa kwenye love kuna emotion, kwenye like hakuna. Wanaume huwa tunamix sana hapa. Unaweza kuta mwanamke ameku-like, sisi tunachukulia kuwa ametu-love. Rejea toufauti zangu nilizozitoa
mwanzo.

Mie nitacomplicate mambo kidogo. Love, like and lust.

 
Finally... thot i lost you there...lol..by the way umekosea in this case Heri nusu shari kuliko shari kamili

Mwisho niliona heri niendelee kuku-like tuu badala ya kuku-love.
 
Mwisho niliona heri niendelee kuku-like tuu badala ya kuku-love.



Inatosha kabisa' maana hii ni starters... wait for desert... then utaongea tena, saizi nakuacha u relax...lol
 
Reactions: EMT
Hivi weweeee..._hii habari ya kuingilia affair za dada yako umejifunza wapi!!?Utakomaaa!

labda anataka kujua kama wewe unapenda ya bottom, yeye achangamgamkie ya top.
 
saa nyingine Love sio lazima umjue mtu
waweza mona mtu ukafa gamvi gafla ....
loVe haiwezi kuwa LiKe

Ndio nyie mnakufa gamvi gafla within miezi miwil eh? lol.
 
Ok. Let me "like" you then. Will that make you feel better? lol



No need to say to make me feel better, I don't care you love or like me,
what i care is that i get want i want from you bila kukulazimisha (yaani willingly)
hua huniangushi you are there for me no matter what!
 
Inatosha kabisa' maana hii ni starters... wait for desert... then utaongea tena, saizi nakuacha u relax...lol

You have got a long way to go though. B'se baada kuku-like, I won't jump straight kuku-love. I may lust on you first. Then,may be love you before becoming one. Kwa hiyo kuna vichaka na visiki vya kuchimba, bearing in mind also that there is top, middle and bottom heart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…