Is lockdown and mass testing working in Kenya?

Ni jukumu la maafisa Wa laboratory kuchunguza ufanisi Wa vitendea kazi vyao sasa kitendo cha mpaka magu kuspy mwenyewe maana yake hao maafisa wapo wapo tu wanaamini kila wanachopewa na mzungu na mchina

Send by APOLO 1
 
Hizo ni takwimu za CDC, nyie safari imewashinda mumeamua tikitaka za mapaipai....
Hivi ni kweli wakenya mnaogopa korona virus hadi mnajifungia na kuacha kufanya!!!wakati hapa dar hata barakoa tunaanza kuachana nazo tunaona mizinguo tu isipokuwa sehemu nyeti tunavaa

Mkulu wenu amerudi mjengoni??? Maana naskia hiki kirusi kilisababisha atoweke kabisa na kutolea matamko akiwa huko huko kijijini, miezi kadhaa sasa hajarudi, amevunja rekodi ya kuwa mkulu aliyekimbia mjengoni muda mrefu hivyo, hiki kirusi bana hehehe, nyie endeleeni kujitoa kafara hapo Dar, wenye akili zao walishatoweka na kusklizia kwa mbali.
 
If there is anything that you should be learning out of this is the essence of free media. In Tz just saying that Covid-19 is out of control is enough to land you in jail
Is free media solution for water scarcity?. The question is, why there is no water in Nairobi while it is the raining heavily everywhere?. Name any city which has no water during this season, any city in the World.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If there is anything that you should be learning out of this is the essence of free media. In Tz just saying that Covid-19 is out of control is enough to land you in jail
 
Nairobi kimenuka
 
Attachments

  • VID-20200516-WA0011.mp4
    7.7 MB
Yaani hawa wagonjwa ndo wakutucheka kweli? This is totaly pathetic and idiotic thinking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…