Is mathematics a branch of science or arts ?



Mathematics is the science that deals with the logic of shape, quantity and arrangement: number theory, geometry, topology and calculus. In this context, mathematics is science!!!!


Na majibu yooote yamfikie ONTARIO !! no maths no kemia no biology no.... no.... no... no anything!!
 
Last edited by a moderator:
jibu zuri ila linakosa kielelezo(reference)

Kwa kiswahili sanifu elimu tunaweza kuigawa kwenye science, history, sanaa, lugh,dini na jamii. Masimo kama civics ni masomo ya jamii ambayo ni sovial subject, kua unasoma hisabu kwenye masomo ya art sio kigezo kwamba math ni somo la art, lengo la kua mpaka art linasomeshwa hili somo ni kwamba hii science ya hisabu anatakiwa kila msomi aijue
 
By my view,Math is neither science nor art,but it utilize some procedures which are scientific
(e.g hyphothesis, assumption,proofing etc) and artistic(e.g drawings,charts, writings,symbolism etc). It is a standalone ndio maana ata arts na science nazo zinakuwa na hesabu wakati mwingine,haha haa haa shuleee.....
 

huu uandishi ni wa brn.
 
kumekua na mabishano ya muda mrefu juu ya hii hoja, tumalize malumbano hapa kwa kutumia "relevant facts" je hesabu ni sayansi au hesabu ni sanaa?
masomo ya sayansi ni matatu mama tu/NATURAL SCIENCE NI. BIOLOGY,CHEMISTRY NA PHYSICS,UKIACHIA MBALI STREAM ZA HAYO MASOMO...
BUT NENO SCIENCE NI PANA SANA,SABABU HADI UCHUMI TUNAWEZA ITA SAYANSI,BECAUSE NI SOCIAL SCIENCE SOETIMES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…