Is Mufuruki suffering the colonial legacy or nobility syndrome?

Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.
 
sasa voda ni mali ya nani? hujui kuwa UMMA una share zake vodacom
 
Naomba tuipigilie hii....ila viongozi wetu wanadanganywa na kasumba ya kukaa darasani ndo kua kiongozi mzuri...poor us madarasa yanakosa maprofesa...mashirika yanazidi kufa
 
sasa voda ni mali ya nani? hujui kuwa UMMA una share zake vodacom
Kama unajua vizuri categories za ownership utakubaliana na mimi kuwa kuwa kuna umiliki binafsi ambao unajumuisha PLCs ambayo wewe unaiita UMMA, pia kuna umiliki wa UMMA haya ni mashirika kama Tanesco, idara za maji n.k, lakini pia kuna mashirika shirikishi yaani Public-private partnership(PPP). Ktk kila umiliki una sytle yake ya maamuzi. Don't consfuse UMMA and PLC
 
Na kwa kuongezea mwenyekiti wa bodi ya PLC amepewa majukumu na wanahisa kuhakikisha kampuni inakua na kupanua wigo wake wa mapato. Kwa hiyo maamuzi ya mwenyekiti ya bosi ya serve interest za wanahisa ambayo ni kuvuna gawiwo nono na hisa kuongezeka thamani.
 
Reactions: cdc
Tunaweza lakini inabidi waje wakuzwe ndani ya Vodacom kama ni hivyo. Inaonekana wakuu wa vitengo ndani ya Vodacom hawajaonyesha ubunifu wowote mpaka anaanza kutafutwa outsider. Wamepewa nafasi wameshindwa kuonyesha. Sylivia alipewa nafasi na ameonyesha uwezo wake ndo maana Vodacom wanamtamani. Kwa hiyo hii ni kama challenge kwa wafanyakazi wa Vodacom kwamba wanahitaji kujituma zaidi ndani ya vitengo vyao na kuonyesha uwezo wa kipekee ili siku nyingine board isihangaike kutafuta mtu nje ya kampuni. Nikiuliza ubunifu gani Vodacom Tanzania wamefanya hivi karibuni, naweza kupata mtihani kidogo. Services walizo nazo ni hizo hizo za Data, Voice na MPESA. Je kuna product nyingine? Safaricom wamebuni more products.
 
Safi.
Sasa masuala ya kuwapangia watu wafanye nini especially kwa position kama CEO sio issue.
 
ungeandika Kiswahili tu. English yako Ni very poor. So Latina itumike English. Hio lugha imekuja na meli. Ukiiendea Licha kichwa kabla hujajipanga itakuadhiri.
 
ungeandika Kiswahili tu. English yako Ni very poor. So Latina itumike English. Hio lugha imekuja na meli. Ukiiendea Licha kichwa kabla hujajipanga itakuadhiri.
Unawezaje kusahihisha kiingereza kwa kiswahili? Habari ya asubuhi! It is like dawn is transfixing you!
 
kuna ukweli ktk akisemacho....but not to that extent!
 
Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.
Naona ulijitahidi kuwa mpole kwa huyo unayemwita 'dada wa watu'. Hilo tu ndo muhimu kwako? Hujui ajira ni siasa? Wewe unaweza kupewa ajira yoyote Kenya? Au unaamini hakuna anayefaa TZ? Tuache uzembe wa kufikiri. Hana lolote zaidi ya viatu vyenye visigino virefu!
 
Kuna watu tukisoma mawazo yenu ukilinganisha na Dunia hii ilivyo, natamani mugenyimwa vichwa. Hivi nawe una matumizi na kichwa chako kweli? Huyo Silvia amejaribiwa wapi? Wapi amewahi kuwa CEO? Au ilikuwa aje kujaribiwa hapa? Akwende zake huko Safaricom wakamjaribie. Huyo Mfuruki wenu naye akwende zake hatutaki watu wanaopinda pinda midomo na mvi kichwani na kutuingiza kwenye wizi wao.
 
Kame deliver wapii! Unaweza kudeliver kwa theory! We vipi? Kamtu kanaletwa kufanya sabotage we unasema delivery! Mawazo kama haya ndo yanamfanya huyu mzembe adhalau elimu yetu nini?
Mind you Sylvia was the head of Retail Business in Safaricom, her section contributes a big chunk of Profit in Safaricom
Dont forget Safaricom's profit is higher than 10 most profitable businesses altogether in Tanzania, I think those were the traits that made the idea of hiring her saleable. Do we have Tanzanians who possesses those traits ??
 
Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.

Kuna siku mtu alitoa "ushauri" kuwa serikali iingilie kati hata private sector ili wasio na vyeti na/au wenye vyeti fake nao wafukuzwe ili waajiriwe Watanzania wenye vyeti!
 
Mufuruki mwenyewe kajiaibisha kumpigia debe Magufuli, halafu Magufuli akamuumbua kwa kuja na anti business approach iliyomkatisha tamaa mpaka Mufuruki mwenyee, akawa analalamika.

Hivyo, mtu anaweza kusema hata hao wanaolalamika Tanzania hakuna watu wenye uwezo wa kuongoza makampuni makubwa wenyewe, kama kina Mufuruki, uwezo wao wa kuona mambo yanayokuja mbele, kama vile kujua kwamba Magufuli ni anti business, ni mdogo.

Yani mpaka Mufuruki naye tunamMufuruki vile vile alivyowa Mufuruki wengine.

So, you reacted to this once upon a time thrd. My position is till valid. So, she was the head of retail bussiness. You mean retail, now she wanted to be the CEO. Again, NO! Any country would say no to any high-grade human as long as that particular country sees no benefits of having such a person. I say benefit NOT profit.

Sorry to you for seeing huge Safaricom's profit tied to the lady's efforts. Did you hope that Similar will happen to Vodacom when she joins the company? A country looks far beyond financial uplifts.
 
anakwambia haoni shule inayotengeneza ma managers tanzania? anaona phds nyingi ambazo hajui zinafanya nini
Kuna mtu kaurudisha uzi huu na nikakuona. Muulizeni mfuruki alisomea wapi umeneja wake wa kuiibia CRDB. Ni mmoja katika wale tunaowajua kupitia I can, I must, ...... bila kujua undani wao ambao hawataki kuusema.
 
Those Macroeconomics trends are beyond her hands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…