Tetesi: Is Nandy really Tanzanian or Kenyan?

Si mpokoti wa Turkana huyo?

Kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta Mkenya anawaambia Wazungu mlima Kilimanjaro upo Kenya.

Tulibishana saana hadi akanuna...akaniambia Kenya wamefundishwa hivyo.

Wageni wanamwambia lakini mbona tunajua upo Tanzania anasema hapana. Tanzania wanaona kilele tu.
 
She's a Tanzania.. She's from Kilimanjaro and she's a Pare..But she lives in Dar es Salaam Mbezi Beach.. Don't be confused by people's rumors
 
Yani ndugu yangu kabisa ukabishana kuhusu hio mada? 😂
 
Yani ndugu yangu kabisa ukabishana kuhusu hio mada? [emoji23]
Ningemfanyaje sasa...anadanganya watu.

Nilimkomalia hadi akakubali...Mgeni mmoja akapiga wimbo wa Yamoto nimeusahau jina akadakia hao pia ni Wakenya.

Hapo hasira zikanipanda nikasema acha nirukie mada tu maana huyu boya kaanza Kilimanjaro nimekaa kimya sasa na Yamoto pia nimnyamazie.
 
Wakenya ni shiidaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Magufuli ni rais wao.
Kila kilichopo Tanzania ni chao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa na haki ya kupata hasira..maana Mimi niliyesoma andiko lako nimepatwa na hasira sipati picha uliyekuwa eneo la tukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfinananga wa kiriki Leo Ni mpare....ughweno,Shighatini,kiriki,usangi.............duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…