Mwanamtama hapo umenena, huyu jamaa anaganga njaa tu, mbona hao anaowatumikia hawakuunga mkono wala kukanusha pale baadhi yao walipoamua kumtafutia baba mwingine kwa kusema yeye Nape siyo mtoto wa Mnauye, leo hao hao ndiyo wanamtumia kiama vuvuzela la CCM maana inategemea kasimama kilima gani ili sauti yake isikike umbali fulani, ikiisha kasi zaidi na ari zaidi najua hatuitamsikia tena Mnauye maana mdomo utafungwa kwa kufuli la VIRO
Wapo wanaosema anachonga sana sasa hivi, na habari za uzao wake hazisikiki tena. maana CCM wakikuchoka wanaweza kukukana wakati wowote na kukutafutia mzazi mwingine. Siku zake zahesabika tutamuona atakakoelekea