Miaka mingi Sana iliyopita somo la kiswahili lilikata mzizi wa ilo swali lako kwenye kipengele Cha njia za undaji wa misamiati.au dogo nyie ndo wale mlikua dawati la mbele amuelewi kitu kazi kutuchafulia atmosphere maback benches
Orange ni tunda na rangi yake halisi ambayo ndio chimbuko ilikuwa ni kijani, yaani tunda hilo lilikuwa likiiva vzr kabisa linakuwa la kijani kabisaa.
Mpaka sasa bado yapo ambayo yana rangi ya kijina ila katika maeneo mengi matunda ya rangi hiyo yalishaadimika na kutokana na kuboreshwa kwa miche yake ikapelekea matunda ambayo yakiiva yanakuwa na rangi uisemayo (orange)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.