Orange ni tunda na rangi yake halisi ambayo ndio chimbuko ilikuwa ni kijani, yaani tunda hilo lilikuwa likiiva vzr kabisa linakuwa la kijani kabisaa.
Mpaka sasa bado yapo ambayo yana rangi ya kijina ila katika maeneo mengi matunda ya rangi hiyo yalishaadimika na kutokana na kuboreshwa kwa miche yake ikapelekea matunda ambayo yakiiva yanakuwa na rangi uisemayo (orange)