huyu jamaa ukimwangalia toka kwenye video ya ''hate me now'' yuko na nas escoba hadi sasa na album yake ''last train to paris'' yuko vilevile,ki-vimpire vimpire hellena angemwuliza,'for how long he has been 22yrs old' guys did you notice this,p.didy is not growing old!
asha d,madona wa kwenye 4mins waliyofanya na timberlake naye anaingia kwenye list kama sio vimpaire basi ye ni kama wale watu wa kwenye series ya the event
Vampire???..... Noo
But the Dude is Crazy...
Kuna kipindi alikuwa analalamika eti petrol imepanda sana kwahiyo anashindwa kutembea na ndege yake??, Baada ya watu kupeleleza na kugundua kwamba hana ndege, basi jamaa akasema eti ana-own the wing of an aeroplane na sio ndege!!!!!
The Dude is surely Crazy...
YouTube - ‪P daddy "Gas Prices are Too High"‬‏
kweli kabisa alikuwa analalamika kwamba mafuta yamepanda sana bei sasa akiwa-anatembea na Jet yake inamcost pesa nyingi sana kwahiyo anaiomba government kuangalia jinsi ya kushusha bei alisema hayo kwenye clip moja ya video...VOR you are seriously not serious!!! Sasa alikua na maana gani??
kua kujitangaza mpunga mrefu au??
Acha uzushi, pi didi ana ndege.Ana kasuku, bundi na njiwaVampire???..... NooBut the Dude is Crazy...Kuna kipindi alikuwa analalamika eti petrol imepanda sana kwahiyo anashindwa kutembea na ndege yake??, Baada ya watu kupeleleza na kugundua kwamba hana ndege, basi jamaa akasema eti ana-own the wing of an aeroplane na sio ndege!!!!!The Dude is surely Crazy...YouTube - ‪P daddy "Gas Prices are Too High"‬‏
kweli kabisa alikuwa analalamika kwamba mafuta yamepanda sana bei sasa akiwa-anatembea na Jet yake inamcost pesa nyingi sana kwahiyo anaiomba government kuangalia jinsi ya kushusha bei alisema hayo kwenye clip moja ya video...
Sasa wajanja wakapeleleza kama kweli kuna jet ipo registered kwa jina lake wakakuta hakuna, basi walivyomuhoji tena, akasema ahh ndege yangu ipo registered under "Sir Rock Obama" and he only owns a wing, not the entire jet. (probably the second part was a joke baada ya kumgundua kwamba hana Jet yoyote)
Vampire???..... Noo
But the Dude is Crazy...
Kuna kipindi alikuwa analalamika eti petrol imepanda sana kwahiyo anashindwa kutembea na ndege yake??, Baada ya watu kupeleleza na kugundua kwamba hana ndege, basi jamaa akasema eti ana-own the wing of an aeroplane na sio ndege!!!!!
The Dude is surely Crazy...
YouTube - ‪P daddy "Gas Prices are Too High"‬‏
For all we know Diddy anaweza kuwa alikuwa anamiliki hiyo ndege kupitia kampuni yake iliyosajiliwa nje ya Marekani i.e. Cayman Island au Panama.For the record, says his rep, he's got a "fractional" ownership in a plane on NetJets, where you buy flight hours.
For all we know Diddy anaweza kuwa alikuwa anamiliki hiyo ndege kupitia kampuni yake iliyosajiliwa nje ya Marekani i.e. Cayman Island au Panama.
Kweli kabisa Show off nyingi sana, lakini credit where credits due.., the likes of Jennifer Lopez, walitokea kwake, alafu ukiangalia hii extract from wikipedia amefanya kazi nzuri sana...Dah! mbongo mbongo tu hata awe Black American... i can not genuinely imagine Timberlake kutoa hio pretense....lol
Naona aliona aibu kweli... and it shows as much as he is loaded not as much as venyewe angetaka....
Na nasikia ni mtu wa starehe mno wakienda sehemu (hasa na Bruce Willis - I wonder wat they have in common)
Ni kutapanya pesa vibaya mno....
In 1993, after being fired from Uptown, Combs established Bad Boy Records,[SUP][12][/SUP] taking then-newcomer The Notorious B.I.G. with him. Both The Notorious B.I.G. and Craig Mack quickly released hit singles, followed by similarly successful LPs, particularly The Notorious B.I.G.'s Ready to Die.[SUP][11][/SUP] Combs began signing more acts to Bad Boy, including Carl Thomas, Faith Evans, Father MC, 112 and Total, as well as producing for Jodeci, Mary J. Blige, Usher, Lil' Kim, TLC, Mariah Carey, Boyz II Men, SWV, Aretha Franklin, and others, and forming The Hitmen, an in-house production team.
Mase and D-Block (then known as "The L.O.X.") joined Bad Boy just as a widely publicized rivalry with the West Coast's Death Row Records was beginning. Combs and The Notorious B.I.G. were criticized and parodied by Tupac Shakur and Suge Knight in songs and interviews during the mid-1990s. During 1994–1995, he also helped produce songs for TLC's CrazySexyCool, which was the decade's best-selling R&B album. Songs he helped produced include "If I Was Your Girlfriend" and "Can I Get A Witness".

As his rep said he has fractional ownership sasa most of us hatujui jinsi fractional aviation inavyofanya kazi but in most cases you still own a part of the plane and most rich people always create corporations ambazo zinanunua fraction of the plane ambapo majina yao ya kweli hayatumiki kwenye registration instead wanatumia corporations names i.e Mtakuja Air LLC.Hapa Eqlypz the issue is at the time analalama alikua hana...
ni bora angespecify kua ndege anayo kodi...lol.. hav you watched the video??
hata kama ni kweli basi kungekuwa hakuna maana ya yeye kubost kwenye video kwamba petrol imepanda, sasa hawezi kutembelea ndege, na anawaomba Arabs kama wanaweza kumsaidia!!!!, alafu hii statement ya kusema kwamba ana-own wing peke yake yaani ndio ilionimaliza nguvu kabisa.., all in all jamaa ni show-off, wangapi wana Jet bana kina John Travolta lakini hatujawasikia wanabost kiasi hichoFor all we know Diddy anaweza kuwa alikuwa anamiliki hiyo ndege kupitia kampuni yake iliyosajiliwa nje ya Marekani i.e. Cayman Island au Panama.