Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Jagermaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
654
Reaction score
317
I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes.



Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money Out Of Africa
 
Sijui kama hapa kwetu kuna kitu kama FREEDOM OF INFORMATION ACT; ambayo ingeweza kutupa fulsa kujua matokeo ya tume nyingi za serikari baada ya muda fulani kupita.

Ni miaka 50 toka tupate uhuru wetu wa bendera na katika muda wote huu kumeundwa tume nyingi sana ambazo kazi zake zimefungiwa kwenye sefu na wananchi hatujaweza kujua ukweli uliopatikana na tume hizo.

Mfano mzuri ni huu wa tume iliyoundwa kuchunguza kifo cha aliyekuwa mkuu wa usalama wa Taifa hayati General Imran kombe; mpaka leo uchunguzi wa tume ile umekuwa siri na watu wamebakia kuhisi tu kuwa fulani ndiye aliyehusika na mpaka wengine wanahusisha kifo chake na GENOCIDE YA RWANDA!!

Sasa kama tungekuwa na hiyo sheria muda mrefu umepita toka maafa yamkute Imran na leo hii tungekwenda kwenye archives na kusoma ripoti ya tume ile na kujua ukweli wa mambo.
 
Hizo ni assumptions za ki 'intelijensia' ya akina Mwema, lakini ukweli ni kwamba Kombe alikufa (aliuawa) kwa kuhisiwa ndiye akliyekuwa anavujisha habari kwa mpinzani mkuu wa kipindi kile - Bw. Lyatonga Mrema.

Kipindi hicho hadi Mahita alipandishwa cheo kutoka mkuu wa polisi wa mkoa hadi u IGP kwa kazi 'nzuri' aliyofanya kule AR ya kukabili watu waliokuwa wanambeba Mrema, alipiga sana watu mabomu ya machozi na washawasha.
 
Umeisoma lakini hiyo report nzima ndg yangu?. Mimi naona kama hujasoma ni bora usome ili upate kulinganisha na convention wisdom tuliyokuwa nayo. Sababu uliyosema toka miaka mingi ilishaongelewa. Kwa nini au auwawe kwa kuvujisha siri za serikali kwa Mrema tu na sio siri za Kagame?.

Ni siri gani za serikali alizokuwa anavujisha Kombe kwa Mrema mpaka auwawe wakati inafahamika wazi hata mrema "alifanya" kazi TISS
 
ogopa wa tusti yaani hili kabila bado litaendelea kuleta balaa kubwa ukanda wa maziwa makuu. Ukiwaangalia vizuri hawana tofauti na Wasomari na jadi yao ni kupenda kuwa bora zaidi ya watu wengine hasa majirani zao.
 
Leo BBC wametangaza mwandishi wa habari maarufu wa Rwanda aliyekuwa amekimbilia Uganda ameuawa na watu wasiofahamika!! Kwanini maadui wa Kagame hata walioikimbia Rwanda wanauawa? Mpaka Askofu aliyekimbilia Rome! Inaogopesha sana kwakweli!
 
Kagame ali operate na ku accomplish hiyo mission bila serikali ya Tanzania kujua?


Ni wazi kwamba ilijua mzee,sema issue hapo kwa kuwa report ilimhusu kagame ndio maana katajwa yeye na hiyo ya imran kombe ilikua kama mfano wa kuelezea umafia wa kagame...jamaa licha ya kufanya wonders kwenye uchumi wa nchi yake lakini kiukweli anaitawala rwanda kwa mkono wa chuma!
 

Na kifo cha mwasheria Juani Timoth Mwaikusa je?


Nyie kagame mnamjua ama mnamsikia,yule mtu ana mkono mrefu........
 
It is so easy to join the dots. Mkapa hates the opposition with a passion. That is one dot. Kombe was killed under Mkapa's Presidency,
that is another dot. It is said Kombe was going to join the opposition. Now, that is another dot.
 
Sijui kuna connection yoyote katika hii?

CHANZO: Rwandan online journalist killed in Kampala - Committee to Protect Journalists

Title: Rwandan online journalist killed in Kampala

 
Ukijichanganya na viajana wa Rwanda, hawataki kabisa mijadala ya siasa sababu kubwa wanasema ni rais wao
 
kagame is very notorious...and da
ngerous as well

!

Kagame hosted the first regional military joint drill it would be wise to keep an eye on Kagame and his military ambitions in the EAC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…