Kagame ali operate na ku accomplish hiyo mission bila serikali ya Tanzania kujua?
.. Kagame ana mkono mrefu na siyo mkono mrefu tu, ameishi Tanzania na Uganda so anajua mengi sana na anafahamiana na watu wengi tu. Kwa hiyo akitaka kufanikisha chochote ni rahisi sana na wala sio lazima atumie mashushu wake wa ubalozini, mtaani anaweza kuwa ana informers wengi sana ambao ni watanzania.
Polisi waliomuua Kombe walihukumiwa kunyongwa baada ya ukutwa na hatia ya kuua. Lakini wiki chache zilizopita kuna gazeti [I guess ni Mwananchi] liliripoti kwamba polisi hao walishasamehewa kwa msamaha wa Rais. Siku mbili baadaye Salva Rweyemamu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kwamba Kikwete hajawasamehe hao wauaji.
Kombe aliuawa zama za utawala wa Mkapa, na ni Mkapa huyo huyo akiwa Rais aliwasamehe hao wafungwa. Je, ni kwanini Mkapa aliwasamehe hao wafungwa?
So, lazima serikali ilikuwa inajua kilichokuwa kikiendelea na hata hao polisi walioua, inawezekana waliua kwa amri kutoka juu na ni hao hao wa juu ndio walioamua kuwasamehe baada ya kusoma gerezani for some years.
Kagame ana mkono mrefu na siyo mkono mrefu tu, ameishi Tanzania na Uganda so anajua mengi sana na anafahamiana na watu wengi tu. Kwa hiyo akitaka kufanikisha chochote ni rahisi sana na wala sio lazima atumie mashushu wake wa ubalozini, mtaani anaweza kuwa ana informers wengi sana ambao ni watanzania.
ASKARI Polisi wawili waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo mwaka 1998 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Mkurugenzi wa zamani wa Usalama wa Taifa, Luteni Jenerali Imran Kombe wameachiwa huru.
"Unajua baada ya jaji kutuhukumu kunyongwa tulikata rufaa, Mahakama ya Rufani ambayo iliona ile hukumu ilikuwa ni sahihi ikasema tuendelee nayo hadi tulipoomba huruma ya Mheshimiwa Rais," alisema Matiku na kuongeza:
"Jopo lililomshauri Rais lilipendekeza tupunguziwe adhabu kutoka kunyongwa hadi kifungo cha miaka miwili na kwa kuwa tulikuwa mahabusu tangu 1998, kifungo hicho kilitosha."
Matakwa ya Katiba
Madaraka ya Rais ya kumsamehe mtu yeyote aliyepatikana na hatia, yamo katika Ibara ya 15 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2005.
Ibara hiyo inatamka "Bila kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika Ibara hii, Rais anaweza kutenda lolote ikiwamo kuibadilisha adhabu yeyote aliyopewa mtu yeyote kwa kosa lolote ili iwe adhabu tahafifu."
Serikali itaachaje kujuwa ilichokifanya? kwani si aliuwawa na serikali?
Ama polisi si serikali?
Kama Kagame alihusika kwenye mauaji ya Kombe basi alishirikiana na Serikali ya Tanzania kukamilisha hayo mauaji, manake polisi waliofyatua risasi ni wa Tanzania, na baada ya mauaji Serikali ya Tanzania ilikiri kwa kupitia Polisi kuwa walimfananisha na Jambazi sugu.. Hivyo kama ni lawama bado zinapaswa kuelekezwa kwa Serikali ya Tanzania hata kama ulikuwa mpango wa Kagame (kitu ambacho siamini, anyway)
Hukunielewa
NgumiJiwe said:Kama Kagame kweli ameweza kumuua mtu mzito kama director wa TISS bila ya 'baraka' ya serikali ya Tanzania/bila ya serikali ya Tanzania kujua,aise tutakuwa na tatizo kubwa sana kiusalama kama nchi na vyombo vyetu vya usalama,kitu ambacho sitaki kukiamini
UTANI wako ni mzuri sana KOBA, kama hatutaki aibu tusije dhubutu kumchokoza Kagame, atatuzaire mara moja, mnajua aliyeamua Mobutu Sese seko Ngbendu Wazabanga atimuliwe madarakani? ni Kagame, sisime mengi, lakini ukimgusa Kagame basi ujue umetangaza vita na Uganda, Ethiopia, Israel, Marekani, Uk, na nchi zote zilizoko katika mrengo wa kulia zaidi duniani, na udogo wa nchi yake si neno, Kwani Israel ikiwa na Raia milioni moja si ilipigana vita ya siku sita na mataifa 20 ya kiarabu na baada ya siku hizo Israel ilitanua boda zake na kupata eneo mara nne la nchi hapa awali kabla haijashambulia kwa kuvizia na hao waarabu kwa siri.Nasikia hata vifo vya kina Sokoine, Kolimba na Nyerere, Kagame alihusika sana, huyu mtu ni hatari sana inabidi serikali imwangalie kwa karibu na ikibidi kufanya mipango ya kumwondoa pale, kale kanchi kadogo sana tukiamua kukachukua ni siku moja tuu.
It is so easy to join the dots. Mkapa hates the opposition with a passion. That is one dot. Kombe was killed under Mkapa's Presidency,
that is another dot. It is said Kombe was going to join the opposition. Now, that is another dot.
Huyu kagame, ni balaa, kwani mauaji yote yaliyo tokea Rwanda chanzo chake ni yeye. Unajua waandishi tena wa nje na ndani ya TZ wakisha pewa hela huandika uongo, mfano huandika hivi:
Watusi wenye itikadi kali walio husika na mauaji ya watusi! Huu ni uongo wa waandishi wa habari, ukweli ni kwamba kagame ndiye aliye injinia mauaji hayo na mpaka sasa anaendelea kuua wahutu wachanga ili wasiwe askali
UTANI wako ni mzuri sana KOBA, kama hatutaki aibu tusije dhubutu kumchokoza Kagame, atatuzaire mara moja, mnajua aliyeamua Mobutu Sese seko Ngbendu Wazabanga atimuliwe madarakani? ni Kagame, sisime mengi, lakini ukimgusa Kagame basi ujue umetangaza vita na Uganda, Ethiopia, Israel, Marekani, Uk, na nchi zote zilizoko katika mrengo wa kulia zaidi duniani, na udogo wa nchi yake si neno, Kwani Israel ikiwa na Raia milioni moja si ilipigana vita ya siku sita na mataifa 20 ya kiarabu na baada ya siku hizo Israel ilitanua boda zake na kupata eneo mara nne la nchi hapa awali kabla haijashambulia kwa kuvizia na hao waarabu kwa siri.