Is Rihanna Risking Her life With Out Of Bihaviour?

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Dada kashaanza kupiga msuba kwa kwenda mbele! Yaleyale ya kina marehemu Whitney Huoston na kina Michael Jackson!




Na hapa ni baada ya kuzidiwa na madawa ya kulevya na kukimbizwa hosptali.
 
Loh hiyo issue ya hospital niliona vyombo vya habari kuwa alikuwa na Fatigue baada ya kutumia muda wake mwingi bila kupumzika?
 
Na hicho kijiti je?
 
mh! hapo hospital ni kutokana na kufanya kazi mda mwingi bila kupumzika bro...
 
Dah mastaa wao wakifanya kazi muda mrefu bila kupumzika wanalazwa wao si binadamu..............washusha cement/Vibarua wao hawachoki wakalazwa maana si binadamu........huyo ni ganja zake na madawa yamemzidi no excuse mpaka yamkute ya Whitney
 
Hilo teja,kavurugwa na C.breezy!Maisha yake na bwanake huyo wa zamani yanaelezeka kwenye video ya wimbo "We found love"
 
Hilo teja,kavurugwa na C.breezy!Maisha yake na bwanake huyo wa zamani yanaelezeka kwenye video ya wimbo wake "We found love"
 
i like Rih so much nasikitika anavyojiharibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…