Is Tanzania having only 672,000 internet users?

Watanzania wengi Internet ni Facebook, Whatsapp,Snapchat,Insta
 
hi article ya kitambo kidogo nadhani. Penetration ya smartphone imeongeza hii amount exponentially. Nafikiri by 2011 walikuwa wanaconsider desktop users pekee..
 
Watanzania wengi Internet ni Facebook, Whatsapp,Snapchat,Insta
Thera are all services offered over the internet. Kwa hiyo zinaweza kutumia ku measure access..Labda ije suala la matumizi katika productivity..Lakini definition ya productivity inaweza kuconsider play pia kwa maanaa matumizi kwa leisure. Haya matumizi ya kwa keisure yanaweza yakawa pia yanachangia katika matumizi kwa productivity..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…