Ni sayansi tu, alafu hakuna kitu kama uchawi, yeyote anayesema otherwise ni muongo, mwenye kuweza kunihakikishia uchawi upo afanye hivyo tuone. Story za mtaani kibao ila hakuna yeyote yule aliyeshawahi kuona kitu supernatural kwa macho mawili.
Usifananishe technology na uchawi, ungekua umesoma sayansi hata basic tu ungejua wazi ni mambo yanaelezeka vizuri tu.