Is the broken heart the reason for that??

Is the broken heart the reason for that??

super thinker

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
370
Reaction score
109
Nampenda msichana ambaye tayari ameumizwa katika mahusiano mara mbili,one of which he loved the guy so much. Tumekuwa pamoja kwa takriban mwezi+ sasa na muda mwingine anakuwa too much mnyonge nikimuuliza either haongei au anajibu probably ni the heart breking situations that she has passed through ndio reason. Kumdadisi vizuri akadai anaogopa pia katika hii ya sasa anaweza either akaniumiza in the future au nikamuumiza na anadai hajanipenda bado kama ninavyompenda na kama alivyompenda her ex........hicho ndicho kinachmpa worry,nampenda sana na nataka nikomae no matter what kwani I "hope" kuna matumaini somewhere - SHOULD I???
Wenye busara katika haya please get on and advice. I appreciate
 
Hakuna namna ya kujua kama mtu atakuumiza tena, maana hana rangi wala mapembe!

Cha msingi, ni kuwekana wazi mnapoanza mahusiano yenu, ili kila mtu ajue aina ya rafiki aliye naye!

Kuna watu wanaishi na Wanawake ambao mume anajua wazi kuwa mkewe alishabakwa, lakini mume anafanya kazi ya ziada ya kumsahaulisha mkewe jambo hilo kila siku!...
Mkiamua kuoana mnatakiwa kuwa kitu kimoja, na kupiga vita kila aina ya ishu inayonyemelea kuwavuruga!
 
Muda ni muhimu sana katika mapenzi,wenzetu akina dada huchukua muda kutuamini. Jitahidi uaminike usikate tamaa.
 
Mpe muda wa heal from the broken heart hata mwaka, huku unajivuta karibu sana kwake. Akishapona hilo gonjwa la mapenzi na kama umemvutia vya kutosha atakupenda with whole heartedly
 
Sa ushaambiwa hupendwi kama we unavompenda!ushauriwe nin tena hapo?
 
Zingatia hapo juu. Unaweza ukawin moyo wake. Kuwa mvumilivu na rafiki wake wa karibu. Atakupenda hadi ushangae!
 
Jipange, komaa hapa chini ya Jua hamna kishindikanacho.
 
Komaa ialangalia usiote vigimbi na sugu.
Mapenzi is the most complex phenomenon everLabda uishi kwa matumaini tu.
 
It takes time for a woman who just experienced a heart brake to completly trust and love again especially if she was deeply in love..
Mpe muda wa ku heal na uwe muaminifu so that she slowly learns you are not like the other guys she has been with before! LOVE TAKES TIME!
 
Mpe muda wa kutosha ku-sort herself out na arudi kuwa yeye mwenyewe. Ni lazima yeye aridhie kuwa maisha yanawezekana bila huyo ex wake na akawa anafuraha tu.
 
It takes time for a woman who just experienced a heart brake to completly trust and love again especially if she was deeply in love..
Mpe muda wa ku heal na uwe muaminifu so that she slowly learns you are not like the other guys she has been with before! LOVE TAKES TIME!

umesema kila kitu....
 
Komaa ialangalia usiote vigimbi na sugu.
Mapenzi is the most complex phenomenon everLabda uishi kwa matumaini tu.

soma hii post ya kongosho between line mkuu utapata jibu toosha yan!
 
Jaribu kukubali na kuheshimu mamuzi yake kwa sasa, na kama unampenda kweli kua nae karibu na jaribu kua mkweli kwake
na usichoke kumsikiliza anayoongea inaweza kua yanakukera lakini ndio njia moja yakumsaidia asahau,namalizia kusema Anae penda kikweli hachoki kuvumilia...
 
Thanx very much kwa Ushauri wenu mzuri, TRUE LOVE truly takes TRUE TIME, as long as nampenda kiukwelii,nitamsubiri kiukwelii,kama atanipenda kiukwelii, then kwa pamoja tupendane kiukwelii............but inanipa caution kuwa tayari kwa matokeo yoyote - Flexible coz pocibly what i hope for may nvr happen. Ila truly despite all what SHE TELLS ME,najikuta hata NAMPENDA ZAIDI kadri siku zisongavyo mbele.
 
Please advice the far you can reach please........i realy need ur ushauri, do not just view and go,KINDLY ADVICE
 
Nampenda msichana ambaye tayari ameumizwa katika mahusiano mara mbili,one of which he loved the guy so much. Tumekuwa pamoja kwa takriban mwezi+ sasa na muda mwingine anakuwa too much mnyonge nikimuuliza either haongei au anajibu probably ni the heart breking situations that she has passed through ndio reason. Kumdadisi vizuri akadai anaogopa pia katika hii ya sasa anaweza either akaniumiza in the future au nikamuumiza na anadai hajanipenda bado kama ninavyompenda na kama alivyompenda her ex........hicho ndicho kinachmpa worry,nampenda sana na nataka nikomae no matter what kwani I "hope" kuna matumaini somewhere - SHOULD I???
Wenye busara katika haya please get on and advice. I appreciate
Watch your back brother...Hapo nilipo-highlight kuna utata!.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom