Is there a need to invest in Education in Tanzania?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Waungwana,

Nakumbuka Prof mmoja wa education pale UDSM, alituuliza: Kama una very limited resources, uziweke wapi? Kwenye biashara ambayo una uhakika mwanao huko mbele ataweza kupitia biashara hiyo kumudu maisha duniani AU uiweke kwenye elimu ya mtoto ambayo ambayo huji kama atasoma kweli na atapata ajira kama ilivyo sasa?

Niko kwenye dilemma! Najua wengine mtasema if you think education is expensive, try ignorance, but I am perfectly sure this does not apply in any situation, universal, all weather!!!!!
 
Huyo professor na wewe wote ni vilaza

Kama una fedha kwani hata ukiamua kumlipia mtoto wako asome utamlipia the whole amount at par?, kwamba elimu ya msingi hadi chuo fedha yote utalipa kwa wakati mmoja, kwamba hiyo fedha ukifanya maamuzi leo kumsomesha mtoto huwezi kufanyia mambo mengine?, kwamba mfano ukiamua kufanya biashara mtoto asisome?, kwamba unampeleka mtoto shule ili apate ajira aje akusaidie wewe?

Unanchosha wewe na professor wako kilaza...
 
Inategemea hizo "very limited resources" zinalenga kwenye kiasi gani cha fedha. Maana elimu ya mtoto inategemea shule/chuo utakachompeleka - kuna watoto wamefaulu kusoma katika shule/vyuo vya serikali mwanzo mwisho kwa mafanikio makubwa tu na kwa gharama ndogo na biashara.

Pia inategemea ni nini unataka kufanya na mtaji unatofautiana.
 
Hahahahaa.. Ndyo jombaa mi mwnyewe nilikuwa nataka kumwmbia vivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…