Tanzania mpaka sasa unaweza kutuma peke yake huwezi kupokea..... kuna watu walikuwa wanatumia njia za kufungua account nchi nyingine ili ionekane kana kwamba kwamba wanatokea huko na kutomia proxy servers ili IP address yao ionekane kwamba hawapo kwenye nchi hiyo hata hivyo paypal waliziba hiyo loophole...... I had my paypal account nilivyokuwa UK nilivyokuja Bongo kuifungua hapa account ikafungwa sababu ilionyesha kuna some illegality. Option ni kutumia other options kama moneybookers au alertpay