is this a problem?

Bryson Mbeula

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
46
Reaction score
4
habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi chuo..is this normal?
 
Umeshawahi kudo, ndiyo nikujibu kama hilo ni tatizo au laaaah?
 
usiwe na haraka ...
tulia ...

(ipo siku na saa atatokea yule ambaye ndo yeye)
 
habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi chuo..is this normal?

but do you love CHRIST with all your heart and all your soul???????????????

If so this is good.............................gals of this wicked generation can only bring trouble and sickness too................
 
sijaona upendo hapo kwenye red..
unataja jina la Christ huku bado unatu sengenya...
(hajatutendea haki)
 
Hilo sio tatizo, je ukiamka hasubuhi vp uwa umedinda au? Ni uamuzi tu kama umeamua mpaka utapooa ndio udo hiyo ndio misingi ya dini zetu hivyo Big Up.
 
biologically im 100%okey...thanx for ur comment!
 
it is very normal.keep it up.Time will come.
 
habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi chuo..is this normal?
at the age of 23 umemaliza chuo????? ni chuo kipi hichop maana vyuo ni vingi. au unataka kutuambia ulianza shule ukiwa bado tumboni mwa mamako.
 
no!ndo niko chuo now naingia mwaka wa pili..!cjamaliza bado!
 
My dear you are too young to ponder on that.... Kuna watu walifall for the first time at 40!!!
 
Kwanza mshukuru mungu,then hiyo ni normal tu piga shule kwanza hizi mambo zipo uazikuta ukishamaliza chuo na kupata kazi ndio uanze kuzifikiria coz una muda wa kutosha kuzifanya saaaaaaaaaaaaaaaaaana!so tuliza boli kijana.
 
asante kwa ushauli wako...im worried maisha yenyewe ya kiafrika yamekuwa mafupi mno.
 
inategemea mie kwenye umri huo nilikuwa nimemaliza chuo
at the age of 23 umemaliza chuo????? ni chuo kipi hichop maana vyuo ni vingi. au unataka kutuambia ulianza shule ukiwa bado tumboni mwa mamako.
 
but do you love CHRIST with all your heart and all your soul???????????????

If so this is good.............................gals of this wicked generation can only bring trouble and sickness too................

Iweee ruta.... Can yuu plizi telli me about boys........?? it seems yu a noti genda sensitivu ati..... watakupiga mawe.....
 
mi nadhan huna tatizo,umri bado si wa kuwaza sna kwanini inakuwa hivyo,ikifika 27 na bado ukaendelea kuwa hivyo nadhan itabidi uende kwa mtaalamu akusaidie,but kwa sasa we piga buku hakuna tatizo,ili hali asubuh kamanda anasimama kisoja no prob
 
..u stil a kid,23yrs?kazana na shule na mtumikie mungu,hayo utayakuta ukikuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…