Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
kwa hlo la non-priority sio kwel maana hao wa non weng sana tu wamepata mkopo.Moja ya watumishi wa HESLB amenukuliwa akisema kuwa wengi ya waliokosa mkopo wana sifa hizi1. Wamesoma private schools eiher o-level au a-level.2. Ni equivalant applicant yani wana diploma.3. Walishawahi kupata loan kabla na labda waka disco chuo au wakaacha chuo.4. Course walizopangiwa ni non priority.Amini usiamini, asilimia 90 ya walioenda bodi leo wana sifa hizo, aliyekuwepo bodi leo atanisaidia juu ya hili!
mi nipo hapo kwenye equivalent applicant!
kwo ukiandikiwa did not secure unafanya nini? naomba maelezo wadau
una appeal kiaje...nipe info mkuu...je una appeal mwaka huu au?that means hujapata mkopo kwa mwaka huu wa masomo. Unaweza appeal ukitoa sababu za msing kwa nn unahitaj mkopo.
Kigezo chao ni
1. Kama umeweza kusoma private school secondary then wewe una uwezo wa kujisomesha.
2. Kama umesoma diploma ina maana uwezo wa kujiendeleza unao.
3. Kama walikupa mara ya kwanza uka disco then rejesha kwanza ndo wakupe tena!
Hakya ya MUNGU bodi hawana akili timamu!
una appeal kiaje...nipe info mkuu...je una appeal mwaka huu au?
Mdau hapa naona haiko sawa.
Watu tunahistoria ya kusomeshwa na wazazi wetu kupitia SACCOS kwa mokopo na marejesho ya fedha kidogo kodogo za mama zetu wakaanga vitumbua.
Tumesoma shule za private kwa kuwa ni serikali hii haikutaka kutupangia shule zake kwa kuwa ufaulu wetu ulikuwa ni wa kiwango cha chini.
Hali imeeendelea hivyo hadi katika ngazi za diploma, na hii yote ni katika kutafuta sifa linganishi za kutuwezesha kufika huko kwenye vyuo vikuu, na Mungu amesaidia hili.
Sasaserikali ikifikiria sisi kupitia njia mbadala kuwa tuna uwezo inakosea kwani nayo pia ni sababu ya sisi kusomeshwa shule na vyuo hivyo, na si kwamba wazazi wana pesa la hasha; wamekopa sana ktk SACCOS hizi hadi wamepoteza sifa za kukopesheka tena kwa kuwa madeni walionayo ni makubwa mno.
Kwa wale waliopewa wakadisco, bado pia wana haki ya kupata tena siku wakimaliza masomo wakafaulu basi watarejesha madeni.
Ni ukiritimba wa serikari na watu wachache iliowakabidhi hatamu za kuvisimamia vyombo hivi vya fedha.
duh..sasa wanasubiri vyuo vyote vimalize kufungua au wanasubiri chuo kipi... maana kuna vyuo vishafunguliwaheslb watatangaza muda wa ku-appeal lakini unakuwaga ni ndani ya siku 90 tangu kufungua chuo. Utajaza tena form online na kuzilipia, utaziprint na kuambatanisha document muhimu zinazonyesha kuwa wewe kweli unahitaj mkopo. Document hizo zinaweza kuwa labda barua ya mfadhil aliyekusomesha sekondar, barua ya m-bunge akithibitisha huna uwezo au labda chet cha kifo cha mzaz kama amefariki hapa katikati (tangu deadline ya maombi hadi sasa)
duh..sasa wanasubiri vyuo vyote vimalize kufungua au wanasubiri chuo kipi... maana kuna vyuo vishafunguliwa