Is this Love?

Love should come first!
When lust beats love in the begining believe me it will do the same in the end...

Lizzy, bila kukitamani kitu (mtu) sijui hata kama nitakipenda maishani. Hivi naweza kula kitu ambacho sikitamani??

??????????Mzee DC!!!!
 
Lizzy, bila kukitamani kitu (mtu) sijui hata kama nitakipenda maishani. Hivi naweza kula kitu ambacho sikitamani??

??????????Mzee DC!!!!

Penda alafu tamani...ili siku kile kilichokufanya utamani kikififia uwe bado unakipenda!!
Jiulize kwanini vijana wengi hawachelewi kuachana?!Kwasababu wanatamani na tamaa inawaongoza kupenda..kesho akiona kingine kinachotamanisha huyoooooo anaondoka zake kwenda ‘‘kutaPENDA‘‘ kwingine!!
Ila anaependa kwanza anaweza kutamani nje ila akaendelea kupenda maana haongozwi na kutamani!
 
Its good when your in love

Umezingatia kuwa wanaume na wanawake wanaishi sayari tofauti linapokuja suala la haya mambo ya kiutu uzima?

Madume ya mbegu yanaendeshwa na tamaa kwanza kabla ya hayo mambo yenu ya love!
 
Lizzy,

Umeshasikia mtaani wanasema kuwa..."yule na ujanja wake wooote, pale kakamatika"? Hao ndio wanaume...kwanza anatamani na anakuwa tayari kutoa kila kitu alichonacho hata kama ni kubaki na boxer tu...Halafu ndo ananata kama atakuta urimbo upo. Tuko pamoja au bado??
 
It means more when it‘s both.....

Ila bado hapo kuna hadithi ya kuku na yai...haviwezi vyote kujitokeza kwa pamoja. Kwa watu wa jinsia kama yangu sina shaka na kinachoanza!! Nimeshakunong'oneza hapo juu!
 
Hicho ndo kitu pekee kinachowafanya wanaume muone mnatofautiana na wanawake...kwamba mnatamani kabla ya kupenda!!Sio kweli....mnajipa tu moyo!!Ingekua tamaa ndo inasukuma kupenda mngekua mnapenda makumi ya wasichana kwa siku....
 
Hiyo sasa ni topic nyingine..tutaiangalia siku nyingine..Una hakika wanaume hawatamani >10 totoz kwa siku kama amekaa maeneo murua kama posta mpya na muda ukawa ni ule ambao swala, nyumbu, pundamilia, nyati, tembo na ngiri wanaenda kunywa maji mtoni???
 
Umezingatia kuwa wanaume na wanawake wanaishi sayari tofauti linapokuja suala la haya mambo ya kiutu uzima?

Madume ya mbegu yanaendeshwa na tamaa kwanza kabla ya hayo mambo yenu ya love!
Sio wote kuna wengine wanakuwa na upendo wa kweli, kuna wale wanaokua pamoja then love inajitokeza ukubwani, na kuna wanaokuwa wote kwa kuoneana huruma. Ila hao wengine wanatamani then wakikolezwa wanafall in love, tena hawa ndio wanafall wazimawazima
 
BB,

Inawezekana kuna ukweli ila ningefurahi sana kama wenyewe wangejisemea. Kama ungeona...nimekwepa kabisa kuongelea upande wa pili kwani hiyo ni sayari nyingine ambayo sijawahi na sitakaa nifike. Naona tuwasubiri wenyewe waje watueleze ni asilimia ngapi inaangukia kundi lipi.

Nimetoa uzoefu wangu wa toka 1947 na bado naamini kwangu mimi na wenzangu..ule udenda wa kutamani ndo unatufanya tuile menu na ikikoleza basi tunalowea kabisa! Hata hivyo (kwa upande wangu) siyo kila ninachokitamani lazima nikionje!! I am fastidious and highly selective!!
 
Hicho ndo kitu pekee kinachowafanya wanaume muone mnatofautiana na wanawake...kwamba mnatamani kabla ya kupenda!!Sio kweli....mnajipa tu moyo!!Ingekua tamaa ndo inasukuma kupenda mngekua mnapenda makumi ya wasichana kwa siku....

whaat.. makumi? kwa kweli unaweza kujikuta wanaume wengi umewaoffend kwa kukisia kwa kiwango cha chini hivyo. Kwa siku mwanamme anapenda kutamani mara sawa na idadi ya wanawake wanaopita mbele yake kwa saa. Don't ask me where I got the formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…