Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Naomba msaada
Nina umri wa miaka 30 na, nina waifu an watoto wawili na nimekuwa mwaminifu katika ndoa yangu.
Ila sasa naona shida kwani waifu hana hamu na tendo la ndoa kama zamani...na kila tukikutana kimwili, anaridhika baada ya mara moja tu huku mimi nabaki nikitazama ceiling.
Nimejaribu kuongea nae. analalamika kuwa ninataka sana.
How many times is too much in a week?
Je, nifanyeje?
Angalia mara mbili zaidi ya unavyomfikiria yamkini anamegwa nje,Ndani anaona mazoea tuu!!!Ni mapema sana kwa umri wenu kuanza kuchoka kimapenzi kwani huo umri wako au wake ndo kwanza ngoma inapigika sawasawa
Mawazo na fikra kama hizi ukiwa nazo zitakufanya usipewe hat amwezi mzima.Ubaki na huenda, labda, etc.Kuwa na mawazo chanya kwa mwenzio na umwelewe ana tatizo gani.yamkini anamegwa nje,Ndani anaona mazoea tuu!!!
Umesema vema kabisa ndugu yangu.Inawezekana kabisa hamegwi nje labda anachoka tu kwa shughuli zake za kila siku ikiwemo za nyumbani kuwashughulikia watoto na usafi wa nyumba.
Mwanamke ukimfrustrate kidogo tu mapenzi yanaisha achia mbali hisia za kufanya tendo la ndoa. Utaishia kunyimwa au kupewa huku mwenzio akisoma gazeti.
Kitachomfanya kuwa na wewe ni mazoea au watoto, ila si mapenzi.
Waenzini wake zenu mpate mapenzi ya kweli, oooh hoooo!
Baba, possibility kubwa ni kuwa watu wanakusaidia...Hizi lugha za unataka sana wakati dozi ni ileile ni janja ya hawa wenzetu. Jaribu kuchek mwenendo wake halafu mwenyewe utoe majumuisho.
watu wanamsaidia watu gani?
Mwanamke ukimfrustrate kidogo tu mapenzi yanaisha achia mbali hisia za kufanya tendo la ndoa. Utaishia kunyimwa au kupewa huku mwenzio akisoma gazeti.
Kitachomfanya kuwa na wewe ni mazoea au watoto, ila si mapenzi.
Waenzini wake zenu mpate mapenzi ya kweli, oooh hoooo!
mnatakiwa kufanya tendo la ndoa atleast mara 4 kwa wiki.sio chini ya hapo.inabidi utafute mbinu mpya za kumsisimua.