Is this serious? Angalia [color=blue]blue[/color]...

Is this serious? Angalia [color=blue]blue[/color]...

The Son

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
459
Reaction score
58
Ni ujumbe wa maandishi niliotumiwa kwenye simu yangu tarehe 19 mwezi 7 mwaka 2013,kwa bahati mbaya au nzuri sijaweza kumuuliza mtumaji hilo swali hilo hapo kwenye 'title' kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu
wahitimu wote wa UNIVERSITY 2013 vituo vyenu vya JKT ni:
1: baed A-M =RUVU JKT
2: baed N-Z =MGAMBO JKT
3: baphied =makambako jkt
4: bed =mbeya jkt
5: other courses =kigoma jkt.NB: Names are arranged by starting with SIRNAMES and reporting time is 15August 2013.Nakutakia maandalizi mema!!
 
hahaaahaa! source yako c ya kuaminika! Overrrr
 
ni ujumbe wa maandishi niliotumiwa kwenye simu yangu tarehe 19 mwezi 7 mwaka 2013,kwa bahati mbaya au nzuri sijaweza kumuuliza mtumaji hilo swali hilo hapo kwenye 'title' kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu

sirnames????= surname
 
sirnames????= surname

Nimeuliza 'is this serious?' kisha nikakuambia uangalie penye blue,
hicho ulichorekebisha ni moja ya vilivyopelekea niulete huo ujumbe wanajamii waseme walichonacho.
 
Ni utani kama yalivyo matani mengine,Makambako hakuna JKT,wala hakuna Mbeya JKT,pia hakuna Kigoma JKT. Over.
 
Back
Top Bottom