Mkuu ukiweka cursor juu ya hiyo picha bila hata kuclick itajizoom
Nikazoom ukaone vizuri?
Sasa kwa kutumia ka Chainizi Telefoni kako, bonya hapo kwenye hako kapicha katafunguka kwa ukubwa na utaweza kukasoma
tutafsirie mkuu, maana wengine hapa jf ni 'special seats'.