Is this wife a thug or robber?

Have you ever heard of a husband who is a miser????? Such are the ones whose wife would half empty his pocket
 
tatizo unapewa za ma2miz ya hm tu, salun je? lotion je? Nakubaliana na waliosema afadhal anayechomoa ndn kulko aktafutie mume mwenzio wa kukdh mahtaj yake. Mnafkr wanawake wanawaza kula tu? Wana na ma2miz mengne jaman so ili kuepuka kwnda na walet bafun wapen hela za kutosha hawatachomoa walah tn!
dawa ni kumkabidhi pesa zote za matumizi...
ukitaka vocha unamwambia kaninuulie vocha....
 
huyo ambae bdget ya nymbn hkna shda na bdo anachmoa walet ni mwizi, na wewe icjekuwa bdget ya hm unayozungmzia ni vyakula kujaa kwny frdge? Manake mkeo km hafny kaz inabd uwe unampatia pocket money kwaajil ya mahtaj yake bnafsi. Hapo hutamwona akhangaika na walet yko.
 


Mke kumwuibia mumewe hela ni katabia tu ka mtu binafsi wala haisababishwi na mume kutojali familia. Mbona mimi baba yangu alikuwa anatumia sana fedha kwenye kinywaji na bado sikuwahi sikia akimlaumu mama kwa kumwibia hela. wanawake wa namna hii ni wezi tu na hakuna jina jingine la kuwaita.
 

kweli kabisa,kuna wanaume wana sifa sana wakiwa bar. Yaani yy kutoa ofa kwa kila mtu shida,sasa hata kama anatoa matumizi lazma itamuuma mkewe. Na wengine wakiulizwa wanajibu kashfaa..
 
Kwa kawaida wanawake hawaridhiki hata kidogo, fanya ufanyavyo kamwe huwezi kumridhisha mwanamke in terms of cash!!!!!!!!!!!!!
 
Akiiba si anajenga tu familia na kununua mboga ambazo wewe unakulaga baa peke yako, kuku watoto mpaka sikukuu, watoto hawanywi soda mpaka bday zao lol na mtaibiwa sana tu mwaka huu mpaka mbadilike
 
Did you say i should go to the bathroom with my wallet,heaven forbade.We live in a cashless society nowadays,the wallet has only cards so unless she steals your pin she is bound to come out empty handed

xactly.
 

Sasa raha ya kuoa iko wapi? Si bora nikae single tu!
 

Kama ni pesa za matumizi ya nyumbani, kila siku anapata. Lakini husband akibadilisha tu ngua, mwanamke anaji-position kwanza kutafuta wallet. Nahuwezi jua anachomoa saa ngapi. Nikatabia kawizi ambako kamejificha. Ila ukimpa kama 1m aifadhi hiyo unaipata yote, kosa nikuiacha kwenye mifuko hapo lazima noti kadha hukuti.
 
usipokubali mkeo atumie pesa zako

basi ukubali ku share huyo mke na wenzio wasio bahili....

Hili nakubaliana nalo kabisa. Mume mbahili hukaribisha mke malaya. Kama humtoshelezi mkeo lazima akagawe nje na mke akiamua kufanya hivyo huna namna ya kumzuia maana sisi wanawawake tukipenda tumepnda na tukikususa tunakususa na hata kama nitakuheshimu pale kitandani ni kwa sababu inanibidi nivumilie tu unavyonipanda lakini moyoni najua wapi napata liwazo na pesa ya kutosheleza mahitaji.

Wanaume wengi huwa hawajui kuwa sisi tuna mahitaji mengi kama wanawake. Tunalea familia yetu. Tunalea familia ya baba mkwe na tunalea na familia ya tulikozaliwa ambao nao wanafamilia zao na wengine wao nao wana wanaume irresponsible kama wanaume zetu. kwa hiyo ni muhimu bila ya kushurutishwa wanaume wajue kuwa wanapotoa hela yao inakwenda kuficha na aibu ya wanaume wenzao ambao nao hawako responsibo na familia wanazozizalisha kwa kuwa tu mbegu zinatoka.

Mimi kwa kweli simshangai mwanamke anayemchomolea mume wake. Ni halali kabisa kwa kuwa wanaume wamezidi. Wanaume wanataka kuhoji kila hela wanayokupa. Kwani mi mtoto? Mi najua nitakavyoigawanya katika familia zote. We unataka kujua kwani ushawahi lala njaa.

Dada,
Ukiona wateseka na wallet ipo chumbani fanya U-CCM (Chukua Chako Mapema) maana aweza peleka yote kwa mwenzio.
 
Wanawake ni wadokozi. Siju kama yupo asiye zama kwenye walet za wazee .Ukimpata huyo shukuru maana atakuwa kweli kuku wa kienyeji.
 

Hapa dada umenena. Wanaume wengi wanapenda sifa mitaani na kusahau sifa kuu iko nyumbani. kwenye bia huwasikii hata siku moja wakilalamika kuwa bei ni kubwa lakini hapa home utasikia wanahoji kila kitu mpaka bei ya nyanya. Wakienda kwenye vikao vya harusi utawasikia wanaropoka mchango mkubwa mpaka unashtuka. Na kwenye fedha za matumizi ya watoto ndo kabisa wanajifanyaga hata hawahusiki.

Ndio maana mi huwa namfurahia dada mmoja hapa kazini kwangu. Yeye ana policy kuwa mtoto aliyezaa na mumewe ni jukumu la mume wake kumtunza. Akiumwa hata homa mume atapigiwa simu kuwa kuna bili ya hospitali inatakiwa na hela ya teksi inahitajika. Mume akigoma kutoa kwa kuona ni hela ambayo iko ndani ya uwezo wa mama kutoa basi ajue ananyimwa unyumba na atachuniwa. Mwanaume wa watu huwa anafanya kila njia kuhakikisha kuwa anatafuta hela na kulipa. Wengi huwa wanamshangaa huyu dada hapa job but trust me mi huwa namuunga mkono. Mwanamke lazima uwe na msimamo. Kama baba anapaswa kutoa matumizi na wewe zako ziende saluni please stick to it.
 
Wanawake ni wadokozi. Siju kama yupo asiye zama kwenye walet za wazee .Ukimpata huyo shukuru maana atakuwa kweli kuku wa kienyeji.

Wapo ambao si wadokozi. Wapo wamejaa tele. Unakuta mwanamke ana kipato kizuri tu na hana sababu ya kudokoa kwa baba. Wapo wanawake ambao hata kama baba ana majukumu ya kutoa fedha nyumbani nao wapo kumsaidia. Wapo wanawake ambao waume zao hawana uwezo lakimi nao wanaajitunza na siyo lazima baba asaidiwe na wanaume wenye fedha ili kutunza nyumba. Tusisahau kuwa kutunza nyumba ni natural endowment ya mwanamke. Amepewa na Mungu kipaji hicho.

Tatizo kubwa lililopo ni pale mwanamke anapobeba majukumu mengi kupita uwezo wake kwa nia ya kujionyesha katika jamii yeye ni nani. Unaweza kukuta mwanamke yuko kwenye mashindano yafuatayo:
1. Mashindano na wadada na wamama wenzake kuhusu maavazi, style ya nywele, gold chains, lotion na perfumes hapo lazima ingie walllet.
2. mashindano na mawifi zake kuwa nani kati yao ni zaidi na nani anapendwa zaidi na mume wake (ambayo hujulikana kwa mali na zawadi alizoletewa amabapo kama hajaletewa huingia kwenye walllet na kujininulia)
3. Mashindano na kaka na dada zake wa kuzaliwa kujionesha ni nani mwenye uwezo zaidi wa kuwahudumia wazazi wake na ndugu zake
4. mashindano na class mates zake kujua nani elimu yake imempa sucess ya kununua simu kali, gari zuri, nyumba zuri ya kupanga etc

Sasa katika mashindano haya lazima mwanamke uwe mdokozi ili uweze kucompete. (ofkoz wanaume nao wana mashindano yao kama nani ametembea na demu mkali zaidi, nani amejenga kwa spidi zaidi, nani ananunua round nyingi za pombe e.t.c)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…