is treating a woman nicely like digging a grave for urxelf..

On the condition loya klorokwini approves the terms and conditions.

Huyu inaonekana hawajamuuwa vizuri, naomba umstue kwamba mzembe nina ak-47 nimeinunua Iran, sasa mwache aendellee kuquote post zako tu na kucheka cheka na Mrs Klorokwini to be.
 
loya my loya b gentle. he is a boy, nataka tu nisaidie afike levo zako alafu nabwaga manyanga.
 
Tena akiendelea nitakuja na ile ID yangu nyengine ya umod halaf nihamishe hii sredi yake jukwaa la jokes.
Loya nina hasira sana leo, kuna mzembe kaiba after shave yangu apa geto
 
teh teh teh. Una tension sana or kdg tu? After shevu yako ndio ile zawadi niliyokununulia ulipo pata u mod?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…