Is true?

Yasmin

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
241
Reaction score
58
A man who has never lied to a woman has no respect for her feeling....
 
Ukweli wa nini
Bora anifurahishe kwa uongo maisha yasonge mbele.

Hivi unakifua cha kubeba ukweli wa wanamme???
Kambana hausigelo wakati wewe umeenda kujifungua
Ofisini anapona kwa sekretary
Alivyosafiri alikula watu kadhaa alokutana nao huko huko
Ni jambazi lililobobea hicho kiduka ni zuga, huoni matumizi yenu na mtaji wa duka yanatofautiana
Alitoa kafara ya mbuzi ili apandishwe cheo
Just out of curiosity, alikula anty michael

Bora nidanganywe, INTELIGENTLY.
 

so u prefer lie,waoo
 
Wako wapi ambao ni wakweli 100%. I know sababu I am experienced.
 
Aseme tu kama kaambukizwa, ili mmoja abaki kulea familia
Otherwise, uongo mtamu, ukweli mchungu
Unaweza ushindwe kabisa kupanda Kilimanjaro, ukawa wa mlima meru tu.
Mianaume ndivyo ilivyo!

so u prefer lie,waoo
 
ukweli always unauma sana ila ni bora kuliko uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…