Is USA pushing Tanzania to adopt her title IX of education amendment(1972)??



sasa niu matano au ni saba ?
 
Mkuu tafakari upya ulichoandika, wanasiasa wasikupofushe macho ukaimba usichokijua. Watanzania sio maadui wa America bali wanasiasa waandamizi wa ccm walionyimwa hela ya dili toka America , na kupigwa ban kwenda America.
Nawajua Wamarekani inside out mkuu,naona wewe huwajui ndio maana una-kuwa soft with them.Halafuu,wanasiasa hawawezi kunipotosha,kwa kuwa kwanza inawezekana kabisa kwamba mimi nawajua zaidi Wamarekani kuliko wao.
 
Wewe jamaa ni fala sana!
 
kwa kumban Makonda ndio tubadili msimamo?
kuna vichekesho sana duniani.
Hio ni hatua ya mwanzo tu, wale ni mabingwa wa kucheza na saikolojia. Kaanziwa makonda na sweden kukata 75% ya msaada ndani ya miaka mitano ijayo, ili wengine mesej iwafikie.
 
Ayatollah Khommeine aliwaita Marekani Great Satan

Sent using Jamii Forums mobile app

White House akaiita a terrorist organisation.

Hata Mimi nadhani serikali ya Marekani na viunga vyake ni materorist
Wadunia .

Hongera Sana Kwa N.korea Kwa kujikomboa.

Nadhani kunahaja ya kuiangalia urani yetu ya.
Namtumbo kwa jicho la kutulinda na Magaidi.
 
Acha kutafuta visababu mtoeni nyoka bashite anaua watu , CIA wana taarifa anataka kuua hata watanzania walioko Marekani.
Mtoeni akipanda madaraka atakuja kuwaueni hata nyie mnaomtetea sasa.
Makonda ana vita na mashoga ndo marekani hataki, na ukitaka kukosana na mmarekani basi wabugudhi mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…