Daizy
Member
- Oct 14, 2016
- 11
- 3
Wakuu, nimekua nikisoma forums nyingi huko google kuhusiana na hii kitu "water fasting"...kuna wengine wanasema mwanadamu hawezi kumaliza siku tano kwa kunywa maji tu atakufa. Wengine wanasema mwanadamu anaweza kukaa hata siku 60 akiwa anakunywa maji tu na asife!
Je ukweli upo wapi hapa?
Je ukweli upo wapi hapa?