Aisee.... Ngoja wataalam wajeWakuu, nimekua nikisoma forums nyingi huko google kuhusiana na hii kitu "water fasting"...kuna wengine wanasema mwanadamu hawezi kumaliza siku tano kwa kunywa maji tu atakufa. Wengine wanasema mwanadamu anaweza kukaa hata siku 60 akiwa anakunywa maji tu na asife!
Je ukweli upo wapi hapa?
Mm nimewahi kufanya fasting 3days kavu kavu yaani huli hunywi. Mfano kama nilikula j2 usiku basi hyo naitafuta alhamis asubuhi. Na niliweza. Basi 5days kwa kunywa maji ni more than possible