Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Our poor sister Wema was STUPID, smart ladies normally use celebrity men for their own benefits and that's what Zari is doing now, the white party entrance fee ni dola za kutosha lakini kwa sababu ya daimond itafurika.
 
Zari ni next level, mtoto mkali na ana pesa chafu, yani mtoto kabarikiwa kila kitu yani, mama ubaya alie tu, kashazoea kuwapiga bakola wakina aunty lulu na jini kabula, yale ni maji marefu aka international level
 
Mmh!! Bongo movie ni danguro la malaya , maana watu wengi wanaoingia uko ni wale waliofeli darasani na kwenye maisha, Msanii aliyekuwa anaeleweka ni kanumba tu wengine wauza maku na tak*

Mwanzo niliweka matarajio makubwa kwa JB angeweza kuleta mapinduzi kumbe hakuna lolote!
 
WEma hampati zari kwa lolote, sio uzuri wala mafanikio, yule ndo kiboko ya wema maanina

mama ubaya kwa zari kagonga kisiki cha mpingo ile namba nyengine yeye aendelee tu na kina kajala
 
Mwanzo niliweka matarajio makubwa kwa JB angeweza kuleta mapinduzi kumbe hakuna lolote!

Ahhah wapi sasa ivi hakuna kitu, wasanii wengi ni wavivu wa kufikir na elimu hawana, wanaogopa hata kufanya movie na jiran zetu wakenya ambao kidogo wamepiga hatua, yani Bongo movie wamejibweteka na sio wabunifu, kazi umalaya na ushirikina na kugombania madudu, Sanaa ya Tz itabadilika baada ya kuvamiwa na wasomi wenye kiu ya kuipeleka tasnia ya filamu mbele, hawa akina lulu sijui na kina hemedy kazi bure tu hamna kitu
 

aiseee yote tisa ....kumi kijana wetu anatakiwa kucheza kwa tahadhari Sana si kwa Wema si kwa Zari!
 
Zari ni next level, mtoto mkali na ana pesa chafu, yani mtoto kabarikiwa kila kitu yani, mama ubaya alie tu, kashazoea kuwapiga bakola wakina aunty lulu na jini kabula, yale ni maji marefu aka international level

Yani binamu nlivyoona ile clip nimechokaa....mtoto mzuri vile ana ukame?
Me namshauri Kakake Wema aitifue hadii zile dildo zichomwe moto....halafu kama clip imevujishwa na ex- boyfriend basi hana akili ...yani mpaka demu wako anamiliki dildo we uko wapi kwa mfano? Shame.....
 
Loya wangu Ruttashobolwa..... huyu dada (bosiledi)picha si zake??????







Na hajakana...... ila amesema kuwa kuna mtu amezi-liki???

Au mie ndio sijui kiinglishi??
Alichosema kuna mtu ame-leak sio video bali picha ambazo zilikuwa kwenye Red Pepper na ndio maana kasema "Print Media...!" Red Pepper ni gazeti la udaku lakini hata ukiingia kwenye electronic version ya Red Pepper, hiyo video hamna! Lakini hata kwa kutumia akili za kawaida, video ambazo watu wanazisema hapa ni ile inayomuonesha mwanamke akitumia dildo kujipa raha wakati habari ya Red Pepper wanasema Zari alikuwa anamegwa na mwanaume...
 
Picha zilizosambazwa za redpaper zinafanana na za ile video......

Ingekuwa jf hakuna ban ningeweka hapa


 
Mwanzo niliweka matarajio makubwa kwa JB angeweza kuleta mapinduzi kumbe hakuna lolote!
Matarajio yangu sikuweka kwa mtu binafsi isipokuwa walipoingia Proin, nikaamini kabisa kwamba hawa jamaa watabadilisha hali ya hewa kwavile pesa wanayo! Kwa bahati mbaya kabisa, nao wanapita mule mule!!

Tatizo kubwa la movie zetu sio wasanii bali resources... kuna siku nilishangaa sana Monalisa aliposema kwamba filamu yake ameitengeneza kwa Sh. 15m... na mambo ya wasanii wetu, ukisikia 15m basi gawanya kwa mbili! Katika mazingira kama hayo usitarajie kupata filamu bora hata siku moja matokeo yake wanaishia kufanya kila kitu wenyewe! Kwa mfano, huwezi kwenda kwa mtalaamu wa script aliye mzuri ukampa sh. 1 milioni moja akakubali kukuandikia script lakini bei wanayolipa kwa ajili ya script hata 1 million haifiki matokeo yake wanaishia ama kupata script za hovyo au kujiandikia wenyewe!
 
Chezea mapenzi ya skype wewe....



Hapo ndio umuhimu wa kudate wanaume wenye akili timamu unapoonekana ( lakini pia hili linategemea na utimamu wa akili ya mwanamke....huwezi kujimanua kwenye computa ujaji-laveda ukategemea upo salama)
 
BADILI TABIA, hao loosers wanaandamana na loosers wenzao. Ndio hasara ya kudate mtu ambae hana cha kupoteza. Ukidaye mwanaume mwenye hadhi kwenye jamii na familia inayojiheshimu hathubutu kufanya upuuzi huo
 
Last edited by a moderator:
Picha zilizosambazwa za redpaper zinafanana na za ile video......

Ingekuwa jf hakuna ban ningeweka hapa
Hao ni kama akina Shigongo, wanachofanya ni biashara... kwa mfano, kwenye web yao wameandika: "For exclusive pictures and a clear description of how Zari moans in bed, Please hurry and Grab Red Pepper copies of Friday and Saturday from the nearest vendor." Sasa hivi kwenye gazeti ni description ya aina gani hiyo inayoonesha mtu akigumia kwa maraha? Anyway, inawezekana kwa sababu za kibiashara, ndio maana hawajaweka kwenye electronic media ili watu wakilmbilie ku-grab copies, may be baada ya siku tatu wataweka ndipo tuone kama ni hii video inayoonekana anajishindilia mwenyewe au alikuwa na mwanaume!
 
Chezea mapenzi ya skype wewe....




Hapo ndio umuhimu wa kudate wanaume wenye akili timamu unapoonekana ( lakini pia hili linategemea na utimamu wa akili ya mwanamke....huwezi kujimanua kwenye computa ujaji-laveda ukategemea upo salama)
Kwa upande mmoja, Zari hapo ni victim kama victims wengine ambao tena wana heshima zao kabisa lakini kwa upande mwingine, wanawake bhana sijui vipi... hata akiwa mtu mzima bado mambo yake yatakuwa kama msichana mdogo coz' nisingeweza kutarajia kwa mwanamke above 25 anaweza kufanya mambo kama hayo lakini kila siku wanafanya and at the end of story, ni wao ndio wanakuwa victims!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…