Kwakweli wanajamii najiuuliza kuhusu huyu mtu anaitwa Isaac Ndodi!
Huu umaarufu ni wanamnagani alio nao?
Au sijui ni ushamba, au labda nifikiri kuwa watu wa Arusha wana magonjwa mengi sana yaliyowashinda, maana mapokezi aliyoyapata huyu bwana toka Uwanja wa Ndege wa Arusha LEO hayajapata kutokea, nayafananisha na yale aliyofanyiwa bwana EL MARA alipojiuzulu u-PM!
Alifika na ndege ya Precision ya saa.8.40 mchana.
mIUNDOMBINO YA aRUSHA IMEVURUGIKA KABISA, NA TUMESHUHUDIA jam ZA AJABU!
mSAFARA ULIKUWA WAPATA MAGARI 50!..huh!
Tatizo ni umaarufu wake ama traffic jam ya muda?
Nina mpango wa kuanzisha KITUO CHA KUONDOA SUMU MWILINI. Najua ntapata umaarufu na wateja kibao. Hiyo ni mojawapo ya biashara zenye soko siku hizi. Kwa kweli Watanzania tumeachwa solemba, sasa tunahangaika tu. Lakini kuna Watanzania (Mafisadi) wanaopasua raha katikati ya shida. Inauma! Tukalilie wapi?Watanzania wana matatizo mengi na hawajuhi pa kushika wakati serikali ndio imewatupa, alternative iliyobakia ni kwenda kwa waganga, kuwa mlokole, kuwa mtoa mihadhara, kupiga kabobo, na kutapeliwa na matapeli maarufu (NDODI, DECI), yaani ili mradi upigwe tu,
Nina mpango wa kuanzisha KITUO CHA KUONDOA SUMU MWILINI. Najua ntapata umaarufu na wateja kibao. Hiyo ni mojawapo ya biashara zenye soko siku hizi. Kwa kweli Watanzania tumeachwa solemba, sasa tunahangaika tu. Lakini kuna Watanzania (Mafisadi) wanaopasua raha katikati ya shida. Inauma! Tukalilie wapi?
Watanzania wana matatizo mengi na hawajuhi pa kushika wakati serikali ndio imewatupa, alternative iliyobakia ni kwenda kwa waganga, kuwa mlokole, kuwa mtoa mihadhara, kupiga kabobo, na kutapeliwa na matapeli maarufu (NDODI, DECI), yaani ili mradi upigwe tu,
Isaac Ndodi ndio nani na anafanya kitu gani?
Isaac Ndodi ndio nani na anafanya kitu gani?
pole labda umemshitukia wewe usiyeumwa. Ila waoumwa anawafaa.mamamamaaaaa! Tapeli kaingia arusha, jamaa hana lolote anajifanya kutibu kwa elimu yake ya ''sayansi kimu" dar wamemshtukia zamani