Isaac Ndodi: Umaarufu Gani Huu?

Be on your knee,siku za mwisho zaja patatoekea manabii wa uongo,lazima muwe makini kuwapembua!
Tz naona huu umasikini ndo unawadrive watu kuwehuka na madhehebu ya kila leo na the so called manabii,mitume


we bora uwe unanyamaza..maana tunaongelea matibabu ya huyu jamaa...wala hajahubiri dini..sasa sijui unawaza nin...au akili zako hazina akili..kuwa makini na kinachoongelewa
 

I agree with you 100% BUT is the understanding of the above enough to call yourself a Doctor? Is this knowledge not give at various hospitals? Then what is too special to this Ndodi?
 
Nimefuatilia kwa muda sasa watu hawa; 'Isaac Ndodi', 'Babu wa loliondo', 'Wale wana IT wa mitaani (wanaojua kuinstall windows pekee)' na nimegundua formula inayofanya wasavaiv kitapelitapeli...
Formula yenyewe ni hii;
LITTLE KNOWLEDGE + TOO MUCH TALKING = GETTING MONEY (in TZ)
So be careful people na hawa wanaoongezea title zao.....eti Doctor,mtaalamu wa IT na wengine wengi wakati hakuna kikubwa wanachofahamu.
 
WHO CARES tarabibu na maneno yako muongelee na kumponda Ndodi na c waarusha. unajipenda kwli? Chezea masai ww?
 
Mkuu uko sahihi sana. Yani mimi bongo mtu akianza tu kuongea saaaana akili yangu automatic inaenda kwenye protective mode. Mtu aliyeelimika au mwenye uhakika na huduma yake mara nyingi hana sababu ya kujitangaza sana.
Wahenga walisema kizuri chajiuza kibaya cha jitembeza.
 

Alikuwa anaitwa Ng'wizukulu Jilala
 
Ndodi wakati ajapata Fedha alikua mwembamba akawa anaponda watu wanene,leo yeye ni Linene
 
I agree with you 100% BUT is the understanding of the above enough to call yourself a Doctor? Is this knowledge not give at various hospitals? Then what is too special to this Ndodi?
JAMANI ANA Karma AU KISMATI. 'LOL'
 
Issac Ndodi,mwizi mwingine huyu ukiaxha wale wanaotumia mgongo wa dini
 
no offence...ndodi anatoa ushauri ambao ukijikita katika masomo ya natural remedies to diseases utayapata...tatizo letu watanzania hatupendi kujishughulisha kusoma yeye anasaidia kusoma na anatoa maelezo kwa njia ya tv na radio ambavyo tunavipenda ukilinganisha na vitabu ambavyo tu wavivu kuvisoma.
But ugomvi wangu mi na yeye anapopondea tu kitimoto(i love this stuff crazily),and the times he thinks beliefs zake za ki Sabato are superior and have something in health.
 
bora ndodi kuliko fisadi aliyeamua kuhifadhi pesa za watz kwny benki za uswizi
 
Tupe mrejesho kuhusu huyu mtu yupo wapi sasa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…