Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni ujinga kwa kila mganga wa kienyeji
kujiingiza katika mambo ya kiuchungaji ili
watu wawakubali!Alianza Yahaya
Hussein,akaja Ndodi sasa Joseph Kalokola
Buberwa wa JKB international nae eti
anatoa neno la mungu!Acheni kukufuru
mungu kwa kutaka ufalme wa hapa
duniani.Kalokola mke kamshinda na
wametengana kwa kupigana magumi pale
ubungo plaza mimi pamoja na
wafanyakazi wake akina Vick,Mrutu na
Ndutu ndio tulioamulia hizo ngumi leo nae
anafundisha watu jinsi ya kuishi katika
ndoa!Aibu.Hawa ni wafanyabiashara tuu
wala hawatendi mambo ya
mungu,achaneni nao.
Hawa watu wanaokota mizizi huko halafu kirahisi wanajiita madokta. Ndio maana leob nchi yetu inaenda kwa kuloga loga tu imekosa maarifa.
Hivi tukiweka kando mambo ya kuagua nk, mtu hawezi 'kuitwa'/kuwa na kipaji cha kuwa mganga wa kienyeji?
Amebobea kwenye utapeli huyo. Sidhani kama ana sifa nyingine nzuri zaidi ya hiyo.Jamani mwenye CV ya huyu bwana naomba anisaidie kuibandika hapa JF.
Nasikia ni Daktari, sijui kasomea wapi na amebobea kwenye tiba ya magonjwa yepi?
Ndodi ni mganga wa kienyeji!!!!???
na huyo ndodi anavyojifanya mwalimu wa ndoa sijui ya kwake anaiweza.Ni ujinga kwa kila mganga wa kienyeji
kujiingiza katika mambo ya kiuchungaji ili
watu wawakubali!Alianza Yahaya
Hussein,akaja Ndodi sasa Joseph Kalokola
Buberwa wa JKB international nae eti
anatoa neno la mungu!Acheni kukufuru
mungu kwa kutaka ufalme wa hapa
duniani.Kalokola mke kamshinda na
wametengana kwa kupigana magumi pale
ubungo plaza mimi pamoja na
wafanyakazi wake akina Vick,Mrutu na
Ndutu ndio tulioamulia hizo ngumi leo nae
anafundisha watu jinsi ya kuishi katika
ndoa!Aibu.Hawa ni wafanyabiashara tuu
wala hawatendi mambo ya
mungu,achaneni nao.
kwani mchawi wa kwanza alifundishwa na nani? Si ni kipaji tu
Duhhhhhhh. Haya jamani, ila msi vema kuwakashifu waganga wa jadi maana hizo ndizo dawa zilizowakuza mababu zetu pasipo shaka lolote. Kuwwatukuza hawa wa kisasa kupita uwezo wetu wa kufikiri ndiko kumepelekea mataizo mengi sana. Fanya utafiti mfupi tu juu ya wastani wa umri wa kuishi wa mababu zetu halafu linganisha na sisi sasa hivi, utagundua ninachimaanisha hapa.Ni kipaji kutoka kwa shetani.
I also ask myself the same question! Huu upako ambao baadhi ya watu wanasema wanao, umepatikana wapi??? Maana Duniani upo wema na ubaya pia na mara nyingi ni ngumu kujua uhalisi wa kitu kwa kutazama mambo yao kwenye luninga tu.huo upako wa uchungaji kaupata wapi?
Kupiga ramli, kufanya mazindiko na ibada za mizimu, hayo ni mambo yaliyofanywa na jamii zetu miaka ileee! Lakini kwani wanayoyafanya sio ushirikina na uchawi? Juzi nilisikia huko Uganda kuna mkandarasi ambaye anaamini kwenye dini za kale na kila site yake ya kazi anayopata lazima atoe sadaka damu ya mtu! What is that? Pengine enzi zile kuua albino haikuwa tatizo,ila leo hii ukiua albino tunakuelewaje?Duhhhhhhh. Haya jamani, ila msi vema kuwakashifu waganga wa jadi maana hizo ndizo dawa zilizowakuza mababu zetu pasipo shaka lolote. Kuwwatukuza hawa wa kisasa kupita uwezo wetu wa kufikiri ndiko kumepelekea mataizo mengi sana. Fanya utafiti mfupi tu juu ya wastani wa umri wa kuishi wa mababu zetu halafu linganisha na sisi sasa hivi, utagundua ninachimaanisha hapa.
Tufauti ya mganga wa jadi, mganga wakienyeji na mpiga ramli ni zipi?