Jux hana Mia na Yale maduka yake ya nguo za kiume huku Sinza kumekuchamwanaume mwenyewe anaegombaniwa hana hata mia
Ndo nashangaa sasa... Kapuliziwa uchawi huyuJux wa kimataifa haiwezi hata kuinuka kwa huyu mjinga mjinga Jux ni wa Vanessa in and out ova
Wewe na yeye Nani mbibiHahahaa pipi ya kusini..pipi ya kimakonde hahaha
Miuno feniii..khaa!!
Sasa jimama liko hivo wadogo zake tuweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
aliyekudanganya ni yake nani?Jux hana Mia na Yale maduka yake ya nguo za kiume huku Sinza kumekucha
Aliye kudanganya kwamba si yake ni nani?aliyekudanganya ni yake nani?